Ulimwengu wa science ni tangible lakini huo wa kuchinjani kuwahi viwanja vya pepo ni wa kufikirika tu, ndio maana wewe unachat na sisi kwa mtandao ambao ni moja ya science tunayoiona, kuliko hizo stories za kiama, sijui pepo, ni kuzinguana tu. Kama huamini science, wasiliana nasi kiroho basi.Mkuu... vp kwa upande wako kipi ndio kila kitu ktk huu ulimwengu science au?
Safi sana, ukweli utabaki na uwongo utajitenga mbalihapa ndipo ninapo pata ufahamu kwanini Yesu Alisema Kupitia Mimi Mtamjua Mungu wa Kweli.
Kumbe kinyume chake kuna Mungu wa Uongo ndiyo maana Yesu Akatutaadharisha.
Soma Injili ya Yohana Mtakatifu 17:3
Ulimwengu wa science ni tangible lakini huo wa kuchinjani kuwahi viwanja vya pepo ni wa kufikirika tu, ndio maana wewe unachat na sisi kwa mtandao ambao ni moja ya science tunayoiona, kuliko hizo stories za kiama, sijui pepo, ni kuzinguana tu. Kama huamini science, wasiliana nasi kiroho basi.
Nani kakwambia vimeumbwa?duuh mi mpka nachanganyikiwa aisee, bs hv vyote dunia, usiku,mchana,jua,mwezi, who created them and put them on time?
Nani kakwambia vimeumbwa?
Kuiongeza Dunia? unamawazo ya kipekee.... sasa kama wanasayansi wameshindwa kuingeza Dunia ulituma Ombi? Dubai kule wamesogeza Bahari Nyumba zikajengwa tena za Kifahari, uwezo wa kuongeza eneo la bahari liwe nchi kavu uwezo upo... ila unayemuamini wewe kazi unayo omba aiongeze Dunia basi...Hv kwann wanasayansi na science imeshindwa/waeshindwa kuiongeza ukubwa wa dunia baadala yake wamekuja na mbinu ya kupunguza watu dunia kwa kuhofia bila kufanya hvyo kuna kipindi dunia itajaa
Yule ambaye wewe unamkana. Ni Mungu yupi unayemkana wewe?Mungu gani wa kweli?
Kuiongeza Dunia? unamawazo ya kipekee.... sasa kama wanasayansi wameshindwa kuingeza Dunia ulituma Ombi? Dubai kule wamesogeza Bahari Nyumba zikajengwa tena za Kifahari, uwezo wa kuongeza eneo la bahari liwe nchi kavu uwezo upo... ila unayemuamini wewe kazi unayo omba aiongeze Dunia basi...
By da way humjui Unayemuamini kwa jina wala sheria zake zaidi mnazo zenu huku mkiziita ni zake... na maandiko ya sheria zenu hazipo bibliani
Kuiongeza Dunia? unamawazo ya kipekee.... sasa kama wanasayansi wameshindwa kuingeza Dunia ulituma Ombi? Dubai kule wamesogeza Bahari Nyumba zikajengwa tena za Kifahari, uwezo wa kuongeza eneo la bahari liwe nchi kavu uwezo upo... ila unayemuamini wewe kazi unayo omba aiongeze Dunia basi...
By da way humjui Unayemuamini kwa jina wala sheria zake zaidi mnazo zenu huku mkiziita ni zake... na maandiko ya sheria zenu hazipo bibliani
Alimwambia Petro, wewe ni mwamba na juu yako nitalijenga kanisa ambalo halitashindwa na malango ya kuzimu, na dini ya wayahudi walikuwa wanaabudu kwenye masinagogi.Mkuu nadhani na wewe upo chaka kama wengine Yesu Hadi Anandei alikuwa ni muumini wa Dini ya Kiyahudi... na Waroma walimbatiza kuwa ni Mfalme wa wayahudi kama alivyotabiriwa na watu Dini ya Kiyahudi kina Isaya... so acha kusema Yesu hana Dini wa Dhehebu... Ukristo ulikuja miaka zaidi ya mia baada ya kifo chake so hata yeye akija akakuta kuna Dini inaitwa Ukristo na yeye ndio Mlengwa lazima ashangae... Uislam ulikuja baada ya miaka maelfu baadae... So Yesu Dini yake ni Uyahudi.... Soma na uchambue vizuri utaelewa tu... huna haja ya kupigia upatu dini yoyote kama unamfuata Yesu basi fuata Dini ya Uyahudi la sivyo Upo Chaka hilo hilo la Masanamu
Hiyo ya Kupunguza watu umejitungia wewe mwenyewe tu kwa akili yako mbovu.... Kumbuka vitabu vyenu vya Dini vimeandika kuwa Mungu alimuambia Nuhu ajenge Safina kwani ataleta Gharika watu na viumbe vingi vife na kupungua... sasa ushahidi huo na wewe unao upi? Maana kama vita mudi kaua watu wengi sanaHyo science yako na hawo wanascience Leo hii imekuja na mbinu ya kupunguza watu watu kwa kuhofia dunia itaja. Mbaya zaid imefikia hatua yakupunguaza watu kwa kuua na ku depress fertility za watu. Kwann science isije na njia njingine nzur zczo athiri maisha ya watu, kwann hili science isifikirie hatua za kuiongeza hii dunia badala ya kuua watu?
Ukisema Wayahudi unamzungumzia Yesu Direct... hata wakirumbana wao ndio walipata mafunzo Direct na sio ndoto... huo Uongo wa kuwa na Makanisa blah bhla Nguruwe,Ubani chochezo kanisani huelewi yana maana gani na asili yake hutaki kufuatilia sababu upo chaka siku ukijua utachukia ukristo wewe mimi nimechambua sana so unapotetea kwanza lazima nikushangae na ukianza leta point zako ulizojipangia na kuziangusha humu huwa hazina mashiko sababu unachukulia humo humo kwenye kitabu kilichoondoshwa historia za kweli ili kukupumbaza Yesu atabakia kuwa Myahudi sababu Uyahudi ni dini ya kabila so you can't change the history...Alimwambia Petro, wewe ni mwamba na juu yako nitalijenga kanisa ambalo halitashindwa na malango ya kuzimu, na dini ya wayahudi walikuwa wanaabudu kwenye masinagogi.
Pili wayahudi walitaka kumuua mara nyingi na kumtuhumu kuwa ananakufuru, kama angekuwa anahubiri mafundisho ya Musa kwa nini walikuwa wanalumbana?
Tatizo la kutoelewa na kujitahidi kutumia elimu ya dunia idanganyayo kuchallenge mafundisho ya kiroho, unaweza kuwapata wale wenye uelewa kama wako wewe, hebu soma kwanza mithali 1:2-5Ukisema Wayahudi unamzungumzia Yesu Direct... hata wakirumbana wao ndio walipata mafunzo Direct na sio ndoto... huo Uongo wa kuwa na Makanisa blah bhla Nguruwe,Ubani chochezo kanisani huelewi yana maana gani na asili yake hutaki kufuatilia sababu upo chaka siku ukijua utachukia ukristo wewe mimi nimechambua sana so unapotetea kwanza lazima nikushangae na ukianza leta point zako ulizojipangia na kuziangusha humu huwa hazina mashiko sababu unachukulia humo humo kwenye kitabu kilichoondoshwa historia za kweli ili kukupumbaza Yesu atabakia kuwa Myahudi sababu Uyahudi ni dini ya kabila so you can't change the history...
Kama upo chaka upo chaka tu.... endelea kuuliza uliza maswali tukufunulie unachoamini... i will be back wacha nikatizame Game ya Madrid dabi
Hakika wewe ni mpumbavu unaleta Ushahidi wa kitabu hicho hicho cha story... ambacho hujui hata aliyekitunga ulevi upo wa aina nyingi... mambo ya story za Mfalme aliyesema Mungu wa Kweli ni Mungu wa Wayahudi aliyetunga ametunga ili kukuaminisha wewe mpumbavu... so usilete refer zako za kitabu hicho hicho... hicho kitabu kimezungumzia story za maisha ya wakati huo so kama wewe kweli unakifuata na kukiaminia basi fuata yote na sio kuchagua chagua tu kama wote mlivyo... mnachukua yale yanayowavutia tu... yale magumu mnayaacha kama hamyajui na mnayaita Agano la kale nini maana yake mnaitwa wapumbavu sababu mmepumbazwa...Tatizo la kutoelewa na kujitahidi kutumia elimu ya dunia idanganyayo kuchallenge mafundisho ya kiroho, unaweza kuwapata wale wenye uelewa kama wako wewe, hebu soma kwanza mithali 1:2-5
Kujua hekima na adabu, kutambua maneno ya ufahamu, kufundishwa matendo ya busara, katika haki na hekima na adili, kuwapa wajinga werevu na kijana maarifa na hadhari. Mwenye hekima asikie na kuongezewa elimu, na mwenye ufahamu uyafikie mashauri yenye njia.
Mit 1:7 Kumcha Mungu ni chanzo cha maarifa, bali WAPUMBAVU hudharau hekima na adabu..
Mungu alijitambulisha kwa mataifa kama Mungu wa waisrael, kwani mataifa mengi yalikuwa na miungu yao, na kama uliwahi kusoma kitabu cha Daniel mfalme Nebukadreza alisema Mungu wa Daniel ni Mungu wa kweli.
Hebu angalia hoja yako ilivyo dhaifu na nyepesi kama toilet paper kuwa uyahudi ni dini ya kabila, na refer Bible ambayo imeandika history ya uyahudi in relation to church, wapi imeeleza ni dini ya kabila?
Matendo 8:15 lakini Bwana akamwambia Nenda tu kwa maana huyu ni chombo changu kiteule kwangu alichukua jina langu mbele ya MATAIFA na wana wa Israel.
Matendo 10:1 kuendelea hapa kuna hadithi ya Kornelia ambaye alikuwa Mrumi, alitokewa na Malaika na kuelekezwa kwenda kwa petro, bila shaka Mrumi ni tofauti na muisrael, nenda mstari wa 28 pale
Akawaambia, ninyi mnajua si halali mtu aliye myahudi ashikamane na mtu wa taifa lingine wala kumwendea , lakini Mungu amenionya nisimwite mtu awaye yote mchafu wala najisi.
Kama utakuwa na fahamu walau kidogo utagundua kanisa la kristu si kwa wayahudi pekee na kazi za Paulo zinajieleza sehemu alizoenda kueneza injili na kujenga makanisa si kwa wayahudi, na ilikuwa ni kazi ya Yesu.
Nimekupata mifano michache ikusaidie maana nimeona huna uelewa wa kutosha labda usubiri ligi za ulaya zianze ukatazame mpira I think you are the best at it siyo kumjua Mungu.
Kwa kumalizia soma Zab 25:14 Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake.
We kawatazame real Madrid halafu ujitape kujua historia ya taifa la Mungu, kuyajua ya shetani na ya Mungu tofauti, usiku mwema
Mpumbavu ni wewe unayetaka kulazimisha kuwa dini ya uyahudi ni ukristo, kwa wajinga wenzako unaweza ukawashawishi na dalili za kukimbilia kutukana inaonyesha dhahiri upumbavu uliokujaa.Hakika wewe ni mpumbavu unaleta Ushahidi wa kitabu hicho hicho cha story... ambacho hujui hata aliyekitunga ulevi upo wa aina nyingi... mambo ya story za Mfalme aliyesema Mungu wa Kweli ni Mungu wa Wayahudi aliyetunga ametunga ili kukuaminisha wewe mpumbavu... so usilete refer zako za kitabu hicho hicho... hicho kitabu kimezungumzia story za maisha ya wakati huo so kama wewe kweli unakifuata na kukiaminia basi fuata yote na sio kuchagua chagua tu kama wote mlivyo... mnachukua yale yanayowavutia tu... yale magumu mnayaacha kama hamyajui na mnayaita Agano la kale nini maana yake mnaitwa wapumbavu sababu mmepumbazwa...
Unaposema Kanisa la Kristu si kanisa la Wayahudi pekee na umeandika neno ''utagundua'' ndio upumbavu wenu ulipo mnachotakiwa mfuate mliyoambiwa mfuate sio kugeuza geuza na kuja na neno tumegundua kukwepa uhalisia wa maelekezo... maana kitabu chenyewe kimeaandika ole wao watakao badilisha neno.... ambao ndio nyie haswa...
Uyahudi ni Kabila au ukoo wa Judah ukifuatilia Ujahudi nini Utaambiwa ni Dini ya kale zaidi ambayo bado inasurvive soma wikipedia
The Jews (/dʒuːz/;[11] Hebrew: יְהוּדִים ISO 259-3 Yehudim, Israeli pronunciation [jehuˈdim]), also known as the Jewish people, are an ethnoreligious group[12] originating from the Israelites, or Hebrews, of the Ancient Near East.[13][14] Jewish ethnicity, nationhood and religion are strongly interrelated, as Judaism is the traditional faith of the Jewish nation,[15][16][17] while its observance varies from strict observance to complete nonobservance.
Jews originated as a national and religious group in the Middle East during the second millennium BCE,[10] in the part of the Levant known as the Land of Israel.[18] The Merneptah Stele appears to confirm the existence of a people of Israel, associated with the god El,[19] somewhere in Canaan as far back as the 13th century BCE.[20][21] The Israelites, as an outgrowth of the Canaanite population,[22] consolidated their hold with the emergence of the Kingdom of Israel, and the Kingdom of Judah. Some consider that these Canaanite sedentary Israelites melded with incoming nomadic groups known as 'Hebrews'.[23] Though few sources in the Bible mention the exilic periods in detail,[24] the experience of diaspora life, from the Ancient Egyptian rule over the Levant, to Assyrian Captivity and Exile, to Babylonian Captivity and Exile, to Seleucid Imperial rule, to the Roman occupation, and the historical relations between Israelites and the homeland, became a major feature of Jewish history, identity and memory
Unaposema Mungu anajitambulisha kwa Mataifa mengine kama Mungu wa Israel... ok wewe Mungu wako ni yupi naomba nitajie Jina lake maana ana jina... na huyo utakayemtaja niambie anataka aabudiwe vipi weka wazi acha upumbavu... na kama ukishindwa basi kamuulize mwalimi wako church iwapo humjui Mungu wako na hujui anataka umuabudu vipi upo chaka ama lah....
Hiyo Elimu ya kwenye Mithali unajui au ndio bendera fata upepo?
Umeandika Kwa kumalizia soma Zab 25:14 Siri ya BWANA iko kwao wamchao, Naye atawajulisha agano lake. Hivi agano lake ndio hilo la kula nguluwe kuwakataa wayahudi kusali jumapili tofauti na wayahudi,kujenga makanisa badala ya mahekalu na masinagogi... kuweka misalaba juu ya makanisa?
Tafuta vitu vya kujibishana na mimi sio kwa kutumia biblia hutaniweza utaumbuka hata ikiwa page to page ya bible yako tena utauchukia ukristo... Wayahudi ndio wenye Dini nyie mnajikwaza tu... Hapo mwanzo Binadamu alimuumba Mungu ili amuabudu...