Sanamu la mungu Mwezi (Luna) Laokotwa chini ya Bahari

Ngoja nivute kigoda, sasa naanza kuelewa ni kwa nini vijana wengi wa ulaya hawaendi makanisani wamebaki wazee tu.
 
wengi mnabishana juu ya dini za kuletewa na wakoloni, biblia ni fasihi ya warumi wengi mnasoma historia za watu wengine na nyinyi mnajifanya waisraeli wengine wametekwa na hadithi za mohammed nao wanajifanya waarabu. vyema kujiuliza je Mungu aliwaumba waafrika bila mitume wao? Je hawakuwa na imani wala kuabudu? Waafrika tuache ushabiki na tuanze kufuatilizia historia yetu kumbuka wokovu ni upendo na dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za mungu baba ni hii, kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.
 
Hhhhhhhhh mbona matusi yamekujaa sana kama hicho unachokiamini kiko sahh?!
Matusi yapi nimeongea wewe... Neno upumbavu lishahalalishwa pale Jangwani na Mkapa... so hilo ni neno la kawaida sana so me namwaga Nondo tu Mambo ya Mungu ni Story tu za kutungwa hata Mungu alianzishwa na binadamu
 
Nadhani ulikuwa unajazia tu hoja yangu Good ila ungemquote gemmanuel265

Mimi kwangu naona ni Story tu there is no God
 
The law of life is the law of believe.

MTU anayeamini ktk mungu na asiyeamini ktk mungu wote wanaongozwa na kitu kimoja. Nacho ni IMANI
 
Kwa hiyo kila race ilipelekewa mitume yao? Nitajie mitume ya wazungu, wahindi na wachina, aborigines, waeskimo nk. Huwezi kuweka siasa kwenye dini you'll get it very wrong
 
Kwa hiyo kila race ilipelekewa mitume yao? Nitajie mitume ya wazungu, wahindi na wachina, aborigines, waeskimo nk. Huwezi kuweka siasa kwenye dini you'll get it very wrong
Ndugu soma vizuri historia zamani dini na siasa vilikuwa haviachani na utawala wa kisiasa ulikuwa chini ya dini jitahidi kusoma vitu mbalimbali ikiwemo mitazamo ya dini mbalimbali kama Judaism, Christianity, Islam, Bahá'í Faith, Hinduism, Taoism, Buddhism, Sikhism, Slavic neopaganism, Celtic polytheism, Heathenism, Semitic neopaganism, Wicca, Kemetism nk. explore more to expose the core utafunguka kwenye box la fikra ulilojifungia
 
Dini na siasa vilikuwa haviachani nakubaliana nawe, hoja ni kuletwa au kutumwa kwa mitume kwa kila jamii (race). Rejea hoja kuwa waafrika hawakutumiwa mitume yao, sijui unamaanisha nini, inawezekana tuko katika phase tofauti ya ufahamu na mitazamo. Mimi mtazamo wangu umebase zaidi kwenye imani ya dini ninayoabudu kwa hiyo kwangu mitume ni waliotajwa kwenye maandiko, mimi si mwanaharakati wa mtu MWEUSI. Wewe umechallenge wakristo na waislam tuonyeshe hiyo mitume ya kiafrika.
Siko kwenye box la fikra unalofikiria, nina free mind ninajua ninachoamini , historia ya imani za mataifa mbalimbali hazitonisaidia kumjua Mungu, I can't solve complex matter by complicated method. Keep on getting confused yourself niache na Mungu wangu wewe tafuta wako wa kiafrika au usiamini kabisa, hiyo ni juu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…