Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza hilo sanamu liliwekwa mwaka gani na ubora wake ulikuwa ni wa viwango vya aina gani?Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
😀😀😀Embu acha ujinga wako hapa wewe.Polisi wa ccm hawana kazi wanapewa amri tu za kisiasa...mmmm wamepiga deal quality sasa wanasukumizia CDM khaaaa
Ngoja niongee na viongozi waandamiziUmeuliza hilo sanamu liliwekwa mwaka gani na ubora wake ulikuwa ni wa viwango vya aina gani?
Sanamu zimeamua kuonesha njia.Mwisho wa utawala wao
La siku nyingi mno hilo,1975 nililionaNgoja niongee na viongozi waandamizi
Hii nchi nayo, mitume walikuja kuvunja masanamuNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Ni kweli lijengwe jipya.Lijengwe jipya
Kabisa MkuuSanamu zimeamua kuonesha njia.
Bila shaka zege zimeexpire. But all in all hii sanamu ilikuwa inaonesha sura halisi ya Mwl. Nyerere kuliko ile iliyowekwa kule Addis AbabaNdugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308
Ni kumbukumbu juu ya historia ya Taifa Letu.Hii nchi nayo, mityme qalikuja kuvunja nasanamu qao wsnstuchobgea masanamu.
Ni bora lilivyovunjika vunjika.
Hiyo laana yao itawarudia wenyewe.
😀😀Watu wengine akili zenu mnazijuwa wenyewe😀😀Limeshindwa kuvumilia Yale yanayotokea katika nchi hii,limeona ni Bora kufa🤓🤓
Katika ulimwengu wa Roho hiyo ni ishara ya anguko la CCM chama alichoasisi na ambacho kimedumu madarakani kwa zaidi ya miaka 60 sasa.Ndugu zangu Watanzania,View attachment 3102307View attachment 3102308