Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

Sanamu La Mwalimu Nyerere Laanguka Na Kuvunjika Mkoani Tabora.Watu Washikwa na Taharuki na kusikitika Sana

Wazee wa kinyamwezi wamesema hiyo ni ishara mbaya sana kwa CCM. Safari hii CCM inakwenda kumfia Samia.
Endeleeni kuweweseka hivyo hivyo wakati Mama akiendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya mamilioni ya watanzania.
 
Wazee wa kuongeza sifuri, wanaumbuka mdogo mdogo. Hutasikia new york liberty statue limeanguka jiulize kwa nini.
 
Back
Top Bottom