Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil.

Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu ya mlima huo karibu futi 2000 kutoka usawa wa bahari linalifanya sanamu hilo lionekane kirahisi na kila mkaazi na mtembezi wa jiji hilo kuu la Brazil.

Fikra za kujengwa sanamu hilo kubwa ili kila mtu alione zilianza mwaka 1850.Hata hivyo uamuzi rasmi wa kuanza ujenzi wake ulifikiwa mwaka 1921 na ujenzi wake kuanza mwaka uliofuatia,Mainjinia wa Brazil na Ufaransa walishirikiana mpaka ulipokamilika ujenzi wake.

Sanamu hilo lilimuonesha Yesu akiwa ameshika msalaba mkubwa mkono wake mmoja na dunia kwenye mkono wa pili.Pamoja na akili nyingi zilizotumika kufanikisha kazi hiyo lakiini iliishia kwa watu kulifanyia dhihaka kwamba Yesu ameshika mpira.

Baada ya utafiti mwengine kufanyika ya eneo jipya kujengwa karibu yake,sanamu nyengine yenye uzito wa tani 635 lilijengwa na kumalizika miaka 10 baadae hapo mwaka 1931 safari hii likimuonesha Yesu akiwa amekunjua mikono yake kama anayeamkiana au kukaribisha watu.

Mwaka 2007 juhudi kubwa zilifanyika ili kuliingiza sanamu hilo katika maajabu ya dunia. Mwanzoni watu waliweza kulifikia kwa kupanda vidaraja vyake vingi. Kwa sasa imekuwa rahisi kwa kutumia garimoshi na hata gari pamoja na ngazi za umeme,

Mwaka 2014 wakati wa kombe la dunia la mpira wa miguu lililofanyika nchini humo radi kubwa ililipiga sanamu hilo muda mfupi kabla kombe kuanza na kuharibu kichwa chake na mikono. Kwa haraka sana matengenezo yalifanyika na kulirudisha katika hali ya muonekano mzuri.

Tukio la mwaka huo lilikuwa ni kama mwanzo tu kwani mara kadhaa radi zmeliandama sanamu hilo kiasi kwamba kwa sasa limejengewa vifaa maalumu vya kuzuia radi. Pamoja na hivyo radi hazijakoma kulipiga sanamu hilo hasa maeneo ya kichwa.Tukio la karibuni ni lile la Februari 10 mwaka huu

67619375-11743733-image-a-7_1676262417790.jpg
Uzushi wa walokole
 
Lile jengo la dubai lingeshadondoshwa siku nyingi
Wewe kwa akili yako unadikiri jengo la dubai halipigwi radi? hebu Google uone. Nishwah ona documentary lile jengo limepigwa radi zankutosha


Ukumbuke pia kule ni half desert na hakuna mvua nyingi kama Rio
 
Sio anapigana.Bali anapigwa kila siku mpaka anavunjika kichwa na vidole.Kwa heshima kubwa ya Yesu bora ateremshwe pale.Vyenginevyo waBrazili watamdharau sana.
Mi nafikiri aachwe palepale ili radi iende kwake na isije kupiga binaadam, madhara kwa sanamu sio ishu kuliko mwanadamu
 
Radi hupiga sehemu yoyote iliyonyanyuka hivyo nadhani hilo sanamu linapigwa na radi kwa sababu limeinuka kuliko sehemu nyinginezo katika hayo mazingira.

Ni sababu ya wazi kabisa.
Kulita sanamu ni kwakeshea heshima wakiristo sema Mungu wao kapigwa radi
 
Kwanza waulize wale waliokaa vikao wakachagua eneo la juu sana na wakatumia gharama kubwa kulijenga.Walikusudia kusema nini.
Mungu wa wakiristo anagharama kubwa sana kumfinyanga
 
Hujasoma hata physics,kitu chochote kirefu katika ardhi huwa ndio cha kwanza kupokea radi ili kusafirisha postive and negative charge kati ya mawingu na ardhi,kasome static electricity utelewa zaidi.

Hivyo hiyo sanamu ni object ndefu hivyo kupigwa na radi kitu cha kawaida,kumbuka pia huo ni sanamu kama sanamu zingine tu.
Sema mungu wako
 
Hamna kitu kinacho ni kera kama kuingiza dini zingine kwenye mada zisio husika na dini hiyo, kama wale wameamua kutegeneza sanamu lao na kuliabudu sawa tu akili zao ndo zinaona ni sahihi, hapa major subject ni Radi ya kila mara kupiga hilo sanamu la Mungu wao.
Hakuna alie ingiza dini bali ukirito bila sanamu hakuna ukirito
 
Bakia kwenye njia kuu,hizo radi Kwa mwenye akili timamu inaleta maswali meengi kama mchanga.

Hosea 9:5

Mtafanya Nini katika siku ya mkutano wa idi,na katika siku ya karamu ya bwana?
Iddi umekaribia ndugu
 
Back
Top Bottom