Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil.

Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu ya mlima huo karibu futi 2000 kutoka usawa wa bahari linalifanya sanamu hilo lionekane kirahisi na kila mkaazi na mtembezi wa jiji hilo kuu la Brazil.

Fikra za kujengwa sanamu hilo kubwa ili kila mtu alione zilianza mwaka 1850.Hata hivyo uamuzi rasmi wa kuanza ujenzi wake ulifikiwa mwaka 1921 na ujenzi wake kuanza mwaka uliofuatia,Mainjinia wa Brazil na Ufaransa walishirikiana mpaka ulipokamilika ujenzi wake.

Sanamu hilo lilimuonesha Yesu akiwa ameshika msalaba mkubwa mkono wake mmoja na dunia kwenye mkono wa pili.Pamoja na akili nyingi zilizotumika kufanikisha kazi hiyo lakiini iliishia kwa watu kulifanyia dhihaka kwamba Yesu ameshika mpira.

Baada ya utafiti mwengine kufanyika ya eneo jipya kujengwa karibu yake,sanamu nyengine yenye uzito wa tani 635 lilijengwa na kumalizika miaka 10 baadae hapo mwaka 1931 safari hii likimuonesha Yesu akiwa amekunjua mikono yake kama anayeamkiana au kukaribisha watu.

Mwaka 2007 juhudi kubwa zilifanyika ili kuliingiza sanamu hilo katika maajabu ya dunia. Mwanzoni watu waliweza kulifikia kwa kupanda vidaraja vyake vingi. Kwa sasa imekuwa rahisi kwa kutumia garimoshi na hata gari pamoja na ngazi za umeme,

Mwaka 2014 wakati wa kombe la dunia la mpira wa miguu lililofanyika nchini humo radi kubwa ililipiga sanamu hilo muda mfupi kabla kombe kuanza na kuharibu kichwa chake na mikono. Kwa haraka sana matengenezo yalifanyika na kulirudisha katika hali ya muonekano mzuri.

Tukio la mwaka huo lilikuwa ni kama mwanzo tu kwani mara kadhaa radi zmeliandama sanamu hilo kiasi kwamba kwa sasa limejengewa vifaa maalumu vya kuzuia radi. Pamoja na hivyo radi hazijakoma kulipiga sanamu hilo hasa maeneo ya kichwa.Tukio la karibuni ni lile la Februari 10 mwaka huu

67619375-11743733-image-a-7_1676262417790.jpg
SANAMU LA YESU
What a dhihaka to Jesus.

Natamani ipige radi na kuusambaratisha huo mlima wote.

Kufuru kubwa sana hii
 
Physics ya wapi uliambiwa kuwa Earthrod inafanya radi isitokee au isipige mahali?

Kazi ya Earthrod ni kusafirisha umeme wa radi uende ardhini ili usiharibu jengo nk ambazo ni non conductors na sio kuzuia radi isipige
Na we umezungumza nn sijui hiyo umeleta ni namna hicho kifaa kinavyofanya kaz lkn ikiwa na lengo isilete madhara kwa juu hapo hamna kusafir inachinja kbs

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
ni sikukuu inayotokana na kuandama mwezi,sikukuu hiyo kiswahili na kiarabu huitwa idi,wakiristo waarabu huuita idi,bible hubadilishwa maneno na majina kila baada ya muda hasa wakiona yanaleta mushkeli,palikua na kifungi zamani kikisema yesu aliwatawadha miguu wanafunzi,siku hizi kinasema aliwaosha miguu,hiyo Aya ya idi kwenye biblia siku hizi Ina neno lake,palikua na kifungu kinataja swaumu siku hizi kimepewa jina jingine siyo swaumu Tena...ni baada ya mihadhara ya waislam kuwapa tabu,huko nyuma mji wa hijja kwenye bible za kiarabu uliutaja ni bakka,walipoambiwa Hilo,wakabadilisha jina la mji,hii ni 1800s huko
Inahitaji elim kubwa kukuelewa ndugu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil.

Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu ya mlima huo karibu futi 2000 kutoka usawa wa bahari linalifanya sanamu hilo lionekane kirahisi na kila mkaazi na mtembezi wa jiji hilo kuu la Brazil.

Fikra za kujengwa sanamu hilo kubwa ili kila mtu alione zilianza mwaka 1850.Hata hivyo uamuzi rasmi wa kuanza ujenzi wake ulifikiwa mwaka 1921 na ujenzi wake kuanza mwaka uliofuatia,Mainjinia wa Brazil na Ufaransa walishirikiana mpaka ulipokamilika ujenzi wake.

Sanamu hilo lilimuonesha Yesu akiwa ameshika msalaba mkubwa mkono wake mmoja na dunia kwenye mkono wa pili.Pamoja na akili nyingi zilizotumika kufanikisha kazi hiyo lakiini iliishia kwa watu kulifanyia dhihaka kwamba Yesu ameshika mpira.

Baada ya utafiti mwengine kufanyika ya eneo jipya kujengwa karibu yake,sanamu nyengine yenye uzito wa tani 635 lilijengwa na kumalizika miaka 10 baadae hapo mwaka 1931 safari hii likimuonesha Yesu akiwa amekunjua mikono yake kama anayeamkiana au kukaribisha watu.

Mwaka 2007 juhudi kubwa zilifanyika ili kuliingiza sanamu hilo katika maajabu ya dunia. Mwanzoni watu waliweza kulifikia kwa kupanda vidaraja vyake vingi. Kwa sasa imekuwa rahisi kwa kutumia garimoshi na hata gari pamoja na ngazi za umeme,

Mwaka 2014 wakati wa kombe la dunia la mpira wa miguu lililofanyika nchini humo radi kubwa ililipiga sanamu hilo muda mfupi kabla kombe kuanza na kuharibu kichwa chake na mikono. Kwa haraka sana matengenezo yalifanyika na kulirudisha katika hali ya muonekano mzuri.

Tukio la mwaka huo lilikuwa ni kama mwanzo tu kwani mara kadhaa radi zmeliandama sanamu hilo kiasi kwamba kwa sasa limejengewa vifaa maalumu vya kuzuia radi. Pamoja na hivyo radi hazijakoma kulipiga sanamu hilo hasa maeneo ya kichwa.Tukio la karibuni ni lile la Februari 10 mwaka huu

67619375-11743733-image-a-7_1676262417790.jpg

Hamna kitu kinacho ni kera kama kuingiza dini zingine kwenye mada zisio husika na dini hiyo, kama wale wameamua kutegeneza sanamu lao na kuliabudu sawa tu akili zao ndo zinaona ni sahihi, hapa major subject ni Radi ya kila mara kupiga hilo sanamu la Mungu wao.
Ami kuna kitu anajaribu kuwakilisha,Takibri🤣🤣🤣🤣
 
Lile jengo la dubai lingeshadondoshwa siku nyingi
Hata lile la Dubai wakiendelea kulitukuza na kultaja sana kuliko jina la Mungu na kuacha uchafu ufanyike humo siku zake haziko mbali.
 
Ukitaka kujiridhisha utasema hivyo.kwa vile wakatoliki walipenda sanamu hilo likao pale ili kila mmojja aone nguvu ya Yesu.Mambo ya kupigwa na radi hayapendezi kutokea pale.Kwa sababu radi inapunguza thamani ya sanamu hilo. Imani ya kidini inaingia kwa sababu kama kweli sanamu hilo linafana na Yesu na kama Mungu wa kweli ameridhia basi lisingepigwa na radi.
Aaagh ni aibu saana mungu gan huyo aliyeruhisu viumbe vyake vimfanye vile wanavyotaka

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Sanamu kubwa kuliko yote duniani ni lile la Yesu amani imshukie ambalo lipo juu ya mlima Corcovado pembezoni mwa jiji la Rio de janairo nchini Brazil.

Sanamu hilo limo ndani ya mbuga ya Tijuca na ni ubunifu wa kanisa katoliki la nchini humu.Lina ukubwa wa karibu futi 100 kwenda juu.Likiwa juu ya mlima huo karibu futi 2000 kutoka usawa wa bahari linalifanya sanamu hilo lionekane kirahisi na kila mkaazi na mtembezi wa jiji hilo kuu la Brazil.

Fikra za kujengwa sanamu hilo kubwa ili kila mtu alione zilianza mwaka 1850.Hata hivyo uamuzi rasmi wa kuanza ujenzi wake ulifikiwa mwaka 1921 na ujenzi wake kuanza mwaka uliofuatia,Mainjinia wa Brazil na Ufaransa walishirikiana mpaka ulipokamilika ujenzi wake.

Sanamu hilo lilimuonesha Yesu akiwa ameshika msalaba mkubwa mkono wake mmoja na dunia kwenye mkono wa pili.Pamoja na akili nyingi zilizotumika kufanikisha kazi hiyo lakiini iliishia kwa watu kulifanyia dhihaka kwamba Yesu ameshika mpira.

Baada ya utafiti mwengine kufanyika ya eneo jipya kujengwa karibu yake,sanamu nyengine yenye uzito wa tani 635 lilijengwa na kumalizika miaka 10 baadae hapo mwaka 1931 safari hii likimuonesha Yesu akiwa amekunjua mikono yake kama anayeamkiana au kukaribisha watu.

Mwaka 2007 juhudi kubwa zilifanyika ili kuliingiza sanamu hilo katika maajabu ya dunia. Mwanzoni watu waliweza kulifikia kwa kupanda vidaraja vyake vingi. Kwa sasa imekuwa rahisi kwa kutumia garimoshi na hata gari pamoja na ngazi za umeme,

Mwaka 2014 wakati wa kombe la dunia la mpira wa miguu lililofanyika nchini humo radi kubwa ililipiga sanamu hilo muda mfupi kabla kombe kuanza na kuharibu kichwa chake na mikono. Kwa haraka sana matengenezo yalifanyika na kulirudisha katika hali ya muonekano mzuri.

Tukio la mwaka huo lilikuwa ni kama mwanzo tu kwani mara kadhaa radi zmeliandama sanamu hilo kiasi kwamba kwa sasa limejengewa vifaa maalumu vya kuzuia radi. Pamoja na hivyo radi hazijakoma kulipiga sanamu hilo hasa maeneo ya kichwa.Tukio la karibuni ni lile la Februari 10 mwaka huu

67619375-11743733-image-a-7_1676262417790.jpg
Ami huwezi kuwabadili watu wa kuabudu msalaba achana nao tu.Wewe kaabudu nyota na mwezi.
 
Hata lile la Dubai wakiendelea kulitukuza na kultaja sana kuliko jina la Mungu na kuacha uchafu ufanyike humo siku zake haziko mbali.
Mungu yupi sasa Ami?????Mungu wa waarabu na waislamu au Mungu wa wayahudi na wakristo??????Utaenda kilibomoa au utalipiga kombora???
 
yesuni munguuuu aaaa nikwelii? nasema Tena yesuni munguuuuu aaaaaa sio kweliiiiiiiiiiiiiiiiiii.

mungu hafananishwi na sanamu Wala chochoteeeee.

haleluuuuyaaaaaaaa?haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wewe mungu umemuona????Yupoje?????Maana mungu Allah ni bachela na mungu yehovah ana nafsi tatu na mungu krishina ni uzao wa ngombe.Sasa utakosoaje imani za watu wakati mungu hujawahi kumuona mpaka utuambie kua hafananishwi na chochote???
 
Back
Top Bottom