Sanamu la Yesu halijachoka kupigwa na radi

Uzushi wa walokole
 
Lile jengo la dubai lingeshadondoshwa siku nyingi
Wewe kwa akili yako unadikiri jengo la dubai halipigwi radi? hebu Google uone. Nishwah ona documentary lile jengo limepigwa radi zankutosha


Ukumbuke pia kule ni half desert na hakuna mvua nyingi kama Rio
 
Sio anapigana.Bali anapigwa kila siku mpaka anavunjika kichwa na vidole.Kwa heshima kubwa ya Yesu bora ateremshwe pale.Vyenginevyo waBrazili watamdharau sana.
Mi nafikiri aachwe palepale ili radi iende kwake na isije kupiga binaadam, madhara kwa sanamu sio ishu kuliko mwanadamu
 
Radi hupiga sehemu yoyote iliyonyanyuka hivyo nadhani hilo sanamu linapigwa na radi kwa sababu limeinuka kuliko sehemu nyinginezo katika hayo mazingira.

Ni sababu ya wazi kabisa.
Kulita sanamu ni kwakeshea heshima wakiristo sema Mungu wao kapigwa radi
 
Kwanza waulize wale waliokaa vikao wakachagua eneo la juu sana na wakatumia gharama kubwa kulijenga.Walikusudia kusema nini.
Mungu wa wakiristo anagharama kubwa sana kumfinyanga
 
Sema mungu wako
 
Hakuna alie ingiza dini bali ukirito bila sanamu hakuna ukirito
 
Bakia kwenye njia kuu,hizo radi Kwa mwenye akili timamu inaleta maswali meengi kama mchanga.

Hosea 9:5

Mtafanya Nini katika siku ya mkutano wa idi,na katika siku ya karamu ya bwana?
Iddi umekaribia ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…