Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Utafikiri alihongwa, yule jamaa jau sanaMadaraka anasema aulizwe yeye... anasema ameshirikishwa na sanamuu ipo sawa sawa kwa mujibu wake
Anajitoa akili akidhani hiyo sanamu ni ya Baba yake. Hiyo ni sanamu ya Baba na alama ya Taifa hili na Africa iliyojengwa kwa kodi zetu.Madaraka anasema aulizwe yeye... anasema ameshirikishwa na sanamuu ipo sawa sawa kwa mujibu wake
Watoto wa babu karibu wote ni chengaMadaraka anasema aulizwe yeye... anasema ameshirikishwa na sanamuu ipo sawa sawa kwa mujibu wake
wale wakiume tu labda, ila wale wakike wanyenyekevu sana au sio watoto wake waleWatoto wa babu karibu wote ni chenga
K11,Leo kwa mara ya kwanza nimeona bandiko la Mohamad said kumsemea mazuri mwl JK
Hana lolote la maana la kusemwa mshenzi yule, alitutia umasikini wa kutupwa,Leo kwa mara ya kwanza nimeona bandiko la Mohamad said kumsemea mazuri mwl JK
mazuri ya sanamu?Leo kwa mara ya kwanza nimeona bandiko la Mohamad said kumsemea mazuri mwl JK
Hiyo ndo sanamu inayoshabihiana na muonekano halisi wa J.K.Nyerere, ile ya Ethiopia hata kipofu ataikataa.SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA
Abraham Lincoln sijapatapo kumuona hata siku moja ila katika picha.
Lakini huwezi kuniwekea sanamu isiyo yeye nikashindwa kutambua kuwa huyo siye sembuse Mwalimu Julius Nyerere ambae nimemuona maisha yangu yoyote.
Vipi nitaonyeshwa sanamu yake inishinde.
Mwalimu Nyerere ni mtu maarufu ulimwenguni na watu wengi wanamjua kutokana na picha zake.
Hawa huwezi kuwawekea sanamu isiyo yeye wakashindwa kutambua kuwa siye.
Sanamu ya Mwalimu AU, Addis Ababa inaudhi.
Angalia sanamu hiyo hapo chini ya Mwalimu Nyerere iliyoko Dodoma.
Una changamoto ya akili na hali ngumu ya maisha, huwezi kumchukia mtu ambaye ana zaidi ya miaka 20 tangu afariki. Nyie mliobaki hai si mfanye mabadiliko mnayotaka? Miaka 23+ mmeshindwa kufanya chochote na bado mnamlaumu mtu aliyeachia madaraka miaka ya 80ş!Hana lolote la maana la kusemwa mshenzi yule, alitutia umasikini wa kutupwa,
Matatizo ya hii nchi leo ni muendelezo wa siasa zake, na hio katiba aliyoiweka ya ccm
Subiri mwezi mtukufu utamshangaa.Leo kwa mara ya kwanza nimeona bandiko la Mohamad said kumsemea mazuri mwl JK
Mkuu picha zinaonekana tatizo kifaa chako.Mkuu picha mbona hazipo
Ya juu ndio sanamu halisi ya Hayati Baba wa taifa Mw. Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ni Shehe Mohamedi Said mtetezi wa Waislam.SANAMU YA ABRAHAM LINCOLN, LINCOLN MEMORIAL WASHINGTON DC NA SANAMU YA JULIUS NYERERE DODOMA