Sanamu ya Abraham Lincoln Washington DC na Sanamu ya Julius Nyerere Dodoma

Una changamoto ya akili na hali ngumu ya maisha, huwezi kumchukia mtu ambaye ana zaidi ya miaka 20 tangu afariki. Nyie mliobaki hai si mfanye mabadiliko mnayotaka? Miaka 23+ mmeshindwa kufanya chochote na bado mnamlaumu mtu aliyeachia madaraka miaka ya 80ş!
Labda hali ngumu ya maisha inakuhusu wewe, na kwa changamoto ya akili, utafiti wa mara ya mwisho ulionyesha Tanzania kuna vichaa wengi kuliko nchi yeyeto ya Africa, kwa hiyo hata wewe huchomoi
Turudi kwa huyu mpuuzi aliyetuachia katiba inayofuata ilani ya chama cha ccm, inayosema mpaka leo ni nchi ya chama kimoja.
 
Ya juu ndio sanamu halisi ya Hayati Baba wa taifa Mw. Julius Kambarage Nyerere, Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ni Shehe Mohamedi Said mtetezi wa Waislam.
Babu...
Umenipa cheo ambacho sidhani kama naweza kukifikia.

Mtetezi wa Waislam.

Mwenyezi Mungu kawataja hawa katika Qur'an.

Mimi siwezi kufikia darja hiyo kuwa niwe miongoni mwa wale aliowataja katika Qur'an.

Natamani.
Kutajwa na Allah ni utukufu mkubwa.

Wewe hayo maneno yamekutoka tu mdomoni bila kufahamu uzito wake.

Mimi namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia kupenda kusoma na kuandika na akaijenga fikra yangu.

Nimetazama historia ya uhuru nikagundua haikuandikwa sawa ina makosa mengi sana.

Kubwa nililogundua ni kuwa historia ya Waislam walivyopambana na ukoloni haipo.

Nikaamua kutafiti na nikaiandika historia kama ilivyostahili kuandikwa.

Jambo dogo sana linalowezwa kufanywa na mtu yoyote yule.

Hili halininyanyui kuwa katika wale Allah aliowataja katika Qur'an.

Ingawa natamani niwe kama Salahudin Ayubi.

Nakufamisha.
Mimi si sheikh.

Elimu yangu yote ni sekula pengine kama ulivyosoma wewe na wengine hapa jamvini.
 
Madaraka anasema aulizwe yeye... anasema ameshirikishwa na sanamuu ipo sawa sawa kwa mujibu wake
Huyo hawezi kwenda kinyume na Gavo maana bado wanakula vya bure kutoka Gavo
 
Babu...
Umenipa cheo ambacho sidhani kama naweza kukifikia.

Mtetezi wa Waislam.

Mwenyezi Mungu kawataja hawa katika Qur'an.

Mimi siwezi kufikia darja hiyo kuwa niwe miongoni mwa wale aliowataja katika Qur'an.

Natamani.
Kutajwa na Allah ni utukufu mkubwa.

Wewe hayo maneno yamekutoka tu mdomoni bila kufahamu uzito wake.

Mimi namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia kupenda kusoma na kuandika na akaijenga fikra yangu.

Nimetazama historia ya uhuru nikagundua haikuandikwa sawa ina makosa mengi sana.

Kubwa nililogundua ni kuwa historia ya Waislam walivyopambana na ukoloni haipo.

Nikaamua kutafiti na nikaiandika historia kama ilivyostahili kuandikwa.

Jambo dogo sana linalowezwa kufanywa na mtu yoyote yule.

Hili halininyanyui kuwa katika wale Allah aliowataja katika Qur'an.

Ingawa natamani niwe kama Salahudin Ayubi.

Nakufamisha.
Mimi si sheikh.

Elimu yangu yote ni sekula pengine kama ulivyosoma wewe na wengine hapa jamvini.
sheikh Mohamed,hv uislam unazungumziaje kuhusu masanamu Kama hilo la Lincoln ulilopiga nalo picha??
 
Una changamoto ya akili na hali ngumu ya maisha, huwezi kumchukia mtu ambaye ana zaidi ya miaka 20 tangu afariki. Nyie mliobaki hai si mfanye mabadiliko mnayotaka? Miaka 23+ mmeshindwa kufanya chochote na bado mnamlaumu mtu aliyeachia madaraka miaka ya 80ş!

Mabadiliko si rahisi tumo tunapambana nayo kwa kadiri ya uwezo wetu lakini si rahisi kwenye mfumo huu wa ki mafia aliouunda ??
 
Back
Top Bottom