Tetesi: Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara

Tetesi: Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara

Ukienda nchi nyingi za ulaya wanaingiza mabilioni ya fedha kwa utalii wa watu kutembelea majumba na sanamu za kale.

Sie kila leo tunavunja na kuweka vipya. Hata kupanga miji kumetushinda. Inawezekana IQ ya mtu mweusi iko chini ukilinganisha na wengine duniani.
 
Kichaa pekee ndo ataang'aika na vitu vidogo kama hv!
Vunja huo uchafu wakikolon jenga kitu mang'anyu
 
yote yanawezekana, kwa samia yote yanawezekana , kama wamasai wanafurushwa, sembuse masananu ya cement
wamasai kwani ni kina nani wacha wafurushwe tu wala hakuna mwenye mapenzi nao na mashuka yao mmejawa na unafiki tu!
 
Ukienda nchi nyingi za ulaya wanaingiza mabilioni ya fedha kwa utalii wa watu kutembelea majumba na sanamu za kale.

Sie kila leo tunavunja na kuweka vipya. Hata kupanga miji kumetushinda. Inawezekana IQ ya mtu mweusi iko chini ukilinganisha na wengine duniani.
Niliona hii thread tangu jana,sikuamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuruhusu Askari Monument ibomolewe. H
 
Historia ya lile sanamu si nzito kiasi hicho tuwaze kuirudisha,

Ikakae mule ndani makumbusho. Of which si necessary as well,

Hata pale askari hatukua tuna muhusudu sana zaidi ya ile round about,

Okay nadhani ikirudi itawekwa tu hata pembeni au juu ya kituo
Ina maana sana kama ikibaki pale kuliko kutolewa.Kama unafahamu maana halisi ya historia.
 
Back
Top Bottom