Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
Siyo kweli haijabomolewa. Bado ipo. SikiliZaNiliona hii thread tangu jana,sikuamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuruhusu Askari Monument ibomolewe. H
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli haijabomolewa. Bado ipo. SikiliZaNiliona hii thread tangu jana,sikuamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuruhusu Askari Monument ibomolewe. H
Ni kweli kabisa haijavunjwa. Watu wazushi kweli. Labda kama ipo kwenye mpango wa kuvunjwa baadae.Siyo kweli haijabomolewa. Bado ipo. Sicilia
View attachment 3015149
History is the study of the past and present in order to plan the futureKuendeleza historia kunarudisha nyuma maendeleo Sana. Futa historia weka kitu kipya
Soma nilichoandika. Unajua maeneo mangapi yameshakuwa na sanamu na kutolewa? Basi fatilia historia. Na mm nimepima kurefer yaliyotolewa plus uhalisia wa askari monument pale posta. Maana nimesoma forodhani, and i have been in and out na kuliona lile sanamu miaka mingi tu.Ina maana sana kama ikibaki pale kuliko kutolewa.Kama unafahamu maana halisi ya historia.
Misri anapata maendeleo kupitia historia.Kuendeleza historia kunarudisha nyuma maendeleo Sana. Futa historia weka kitu kipya
Acha uwongooAsante mme wnagu nakupwenyulia, mbona inbox yako imefungwa sasa?