Tetesi: Sanamu ya Mnara wa Askari (Askari Monument) yaondolewa kupisha ujenzi wa Barabara

Ukienda nchi nyingi za ulaya wanaingiza mabilioni ya fedha kwa utalii wa watu kutembelea majumba na sanamu za kale.

Sie kila leo tunavunja na kuweka vipya. Hata kupanga miji kumetushinda. Inawezekana IQ ya mtu mweusi iko chini ukilinganisha na wengine duniani.
 
Kichaa pekee ndo ataang'aika na vitu vidogo kama hv!
Vunja huo uchafu wakikolon jenga kitu mang'anyu
 
yote yanawezekana, kwa samia yote yanawezekana , kama wamasai wanafurushwa, sembuse masananu ya cement
wamasai kwani ni kina nani wacha wafurushwe tu wala hakuna mwenye mapenzi nao na mashuka yao mmejawa na unafiki tu!
 
Niliona hii thread tangu jana,sikuamini kama kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kuruhusu Askari Monument ibomolewe. H
 
Ina maana sana kama ikibaki pale kuliko kutolewa.Kama unafahamu maana halisi ya historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…