Sanamu ya msanii DIAMOND na ZUCHU pale Posta Kama wasanii Namba moja wakiume na wakike hapa Tanzania


Inasikitisha sana kwa vijana kutumika kirahisi kwa kununuliwa bando na simu kucha kusifia wasanii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilivoona thread ni yako wallah kabla sijaanza kusoma nikacheka mnooh,
Hizi futuhi na comedy zipo dabliusibii huko. Khaaaaaaaah
 
Chukua kvant najakulipa
 
Hajasoma mathematics
 
Mi nazan kama sanamu ya zuchu ikiwekwa posta basi ya jide na prof zitengenezwe alafu kila raia wa Tz apewe akaenayo ndan yan iwe amri [emoji6][emoji6]
 
Hatuongelei label na kama label si mnasemaga kondegang na king music ndo label kubwa Tanzania Sasa mbona kina ibraah, na k2ga hawavumi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…