Tujadili ipi yenye tija kwetu?Naona unachanganya vibuyu.Tafadhali MODS isichanganye uzi huu na hizo nyingine.
Sanaa ya kuchonga kwa kutumia bronze yawezekana ina chngamoto zake. Wadau wamekosoa sana sanamu ya Julius Nyerere iliyozinduliwa jana pale Addis Ababa. Hapa nawaletea sanamu ya Cristiano Ronaldo iliyosimikwa mjini Madeira Portugal mahali alipozaliwa CR7. Je mnaionaje?View attachment 2909715
Kwahiyo tukiambiwa hii sanamu ni ya chui huku tunamwona swala tukubali tu? Tukubaliane kabisa isije kuleta shida huko mbeleMuhimu tujifunze tukishaambiwa hii ni sanamu ya fulani na inafanana fanana nae basi tukubali maisha yaendelee, sometime tunajiumiza vichwa kwa vitu vidogo sana.
Sanamu ikishaitwa ya Nyerere, itabaki kuwa ya Nyerere tu, hawezi kujitokeza anyone akasema hiyo sanamu ni yangu sio ya Nyerere, sasa sijui huwa malumbano ya nini.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hiyo ndiyo hoja yangu kubwa. Watanzania kwenye social media ambao by 80 wamezaliwa baada ya mwaka 1990 ndiyo wanaongozo mjadala wa whether ni sanamu ya Nyerere au siyo.Muhimu tujifunze tukishaambiwa hii ni sanamu ya fulani na inafanana fanana nae basi tukubali maisha yaendelee, sometime tunajiumiza vichwa kwa vitu vidogo sana.
Sanamu ikishaitwa ya Nyerere, itabaki kuwa ya Nyerere tu, hawezi kujitokeza anyone akasema hiyo sanamu ni yangu sio ya Nyerere, sasa sijui huwa malumbano ya nini.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
unajua kuna vitu vinanifurahisha. Sasa kwa kuwa ya Ronaldo imekosewa basi na sisi ya Nyerere tukubali tu? Hii ni hoja dhaifu mno.Kwa hiyo ukikuta sanamu ya mwanaume ukaambiwa ni mwanamke nayo utakubali tu?Toni kroos mtupu
Raia wanafanya maisha yanakuwa magumu.Muhimu tujifunze tukishaambiwa hii ni sanamu ya fulani na inafanana fanana nae basi tukubali maisha yaendelee, sometime tunajiumiza vichwa kwa vitu vidogo sana.
Sanamu ikishaitwa ya Nyerere, itabaki kuwa ya Nyerere tu, hawezi kujitokeza anyone akasema hiyo sanamu ni yangu sio ya Nyerere, sasa sijui huwa malumbano ya nini.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
90% ya jopo la kamati ya maandalizi, including mwana wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere waliikubali kuwa ni yenyeweunajua kuna vitu vinanifurahisha. Sasa kwa kuwa ya Ronaldo imekosewa basi na sisi ya Nyerere tukubali tu? Hii ni hoja dhaifu mno.Kwa hiyo ukikuta sanamu ya mwanaume ukaambiwa ni mwanamke nayo utakubali tu?
Sikubali/hatukubaliunajua kuna vitu vinanifurahisha. Sasa kwa kuwa ya Ronaldo imekosewa basi na sisi ya Nyerere tukubali tu? Hii ni hoja dhaifu mno.Kwa hiyo ukikuta sanamu ya mwanaume ukaambiwa ni mwanamke nayo utakubali tu?
Mtu kalipiwa nauli na posho ya kwenda huko halafu awagomee kweli kwamba sanamu siyo la baba yake? Mbona miaka kadhaa nyuma pale bustanini jijini Mwanza kuna lisanamu fulani hivi liliwekwa na kudaiwa ni la Nyerere na wananchi walipiga sana kelele kwamba halifanani nae na nadhani baadae likabadilishwa?90% ya jopo la kamati ya maandalizi, including mwana wa Baba wa Taifa Madaraka Nyerere waliikubali kuwa ni yenyewe