Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

Sanchoka asema hatumii dawa, umbo lake amerithi kwa mama

Kuvuta Ganja na sigara ndo umeona amekosa malezi? Au unadhani USA sawa na gymkhana?
Sasa mtoto wa kike kuvuta ganja na sigara wewe unaona ni kawaida?
Wewe unashani Obama anaenjoy kumuona hivyo?
 
Umekuwa msemaji wa familia ya Obama toka lini? Wewe ndugu zako wa kike hawavuti chochote kati ya hivyo wana nn mpaka sasa?
Tunazungumzia tabia hatuzungumzii nani ana Nini au kapata Nini maana hata mapornstar ni matajiri
Mkuu shule ulienda kutimiza wajibu au kutoa ujinga?
 
Tunazungumzia tabia hatuzungumzii nani ana Nini au kapata Nini maana hata mapornstar ni matajiri
Mkuu shule ulienda kutimiza wajibu au kutoa ujinga?
Pornstar gani tajiri? 200usd /session ndo utajiri?
 
Ongea tu ukija kulea ndio utajua
Vipi unasapoti anachofanya huyo mama? Mimi hapa mwanangu hawezi fanya upuuzi huo kwenye social networking, labda nife. Ila ww najua utafeli sababu una sapoti upuuzi huo au labda ndio sanchoka mwenyewe.
 
doh
IMG-20181024-WA0040.jpeg
 
Back
Top Bottom