Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Wakati bibi na babu walioana bure mpka leo wanafurahia ndoa
 
Zamani nilikuwa najua mtu mwenye ng'ombe nyingi ndio utajiri[emoji23] [emoji23] Eti siku hizi Mat.ako ndio umekuwa utajiri[emoji23] [emoji23][emoji38] [emoji38] [emoji38] Wabongo watayavuruga hayo mpaka hata milioni moja mahari hapati[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Sasa si atabaki kuliwa tu mpaka achakae.."k" yake mwenyewe....hakuna neno.
 
Ana sura mbovu labda wanaume kama wanaoa matako
 
Thamani yake hakuijua mpaka alipoona mambo yameharibika ndio anajitambua?! Kama bikra alitoa bure, mwili wake watu wanauona bure why mtu aoe kwa milioni 10?! Haahaaaa, umri umeenda hajapata wa kumchumbia anatafuta sababu.
 
Kwenye hiyo video background nasikia sauti ya minaijeria .....sizani kama alipita salama mikononi mwao lazima itakuwa ilimtapeli tigo
 
 

Ina TV ndani? [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…