miss kitongoji
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 662
- 624
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nashangaa sana, tena wa hivyo wengi wao ni makafili au uongo bibi faiza?Binadam hujithaminishi kwa pesa.
Ni muuzaji wa mwili wake tu anaeweza kuupa thamani.
Mkuu hii avatar yako so mchezohio kumi natoa maana pesa nnayo honga kwa mwaka plus pesa ya lodge na vinywaji, club inazidi ten M
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi.
Weka picha unaweza pata BingoMfyuuu shape yake mbona kama yangu tu. . Sema tu mimi sio maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi.
Dstv dishlessIna TV ndani? [emoji23]