Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani anajitambua? Yaani unaoa makalio! Hayo makalio yake ndo yatakayoendesha familia?Kwani nanunua nini, kwanini yaani. Ina tv ndani!!??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unauza nini kwani? Ina ATM ndani? Hiyo milioni 10 mtu ukienda Nanjilinji si unarudi na wanawake fuso mbili. K ni K bwana.
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi