Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo PM bibie nilikua nakutafuta mda mrefu sana!!Mfyuuu shape yake mbona kama yangu tu. . Sema tu mimi sio maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Muuzaji tu huyo anajiona kwavile bado yupo kwenye chati anapanga mahari itafika kipindi hata wa bure hatamwonaKwa maana nyngne huyo anajiuza kwa hyo m10...sio tena moyo kupenda wala mapnz ya kwel bal n m10..
"Wanawake msilinge sana ipo siku baba yako atakubadilisha na ng'ombe"
nakubaliana na hii kaul kwa 99℅...
Wanawake wanaojiuza n wengi sana ila kwa staili tofaut tofaut tu...kuna member aliandika huu uzi heshima kwako mkuu...
HahaMillioni 10 za mugabe au za uncle magu ??
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mfyuuu shape yake mbona kama yangu tu. . Sema tu mimi sio maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huo uzuri wa kinu unauona machoni, ukienda katika utendaji unaweza kujuta kwa utakachokiona, anaweza kua mzigo na kalaha[emoji23]Ila wadua tuweke siasa pemben...
Huko nyuma yuko kama kinu cha kuyeyushia makinikia kimefungwa kwa nyuma daaah!!
Uzuri hawa watu wapo...tutafute maisha kwanza!!