Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Yanihuyu kashajiwekathamani yakeni Sh milioni kumi.

Mtu mwenye mahesabu makubwa zaidi ataona huyu hafai kwa sababu ndoto zake ndogo na kajipa bei kama ng'ombe.

Sasa mimi natakamtu tukae kwenye nyumba ya sh milioni mia tano na biashara ya kuingiza faida ya angalau milioni sita kwa siku,halafu nakutana na mtu anajiwekea bei ya sh milioni kumi.

Hapo hapo namdharau.
 
Anataka kununuliwa mwambie akaolewe usukumani Bariadi au Umasaini, ameshakuwa used vya kutosha hafu anapanga mahari huyo ni zero brain
 
Kwa maana nyngne huyo anajiuza kwa hyo m10...sio tena moyo kupenda wala mapnz ya kwel bal n m10..
"Wanawake msilinge sana ipo siku baba yako atakubadilisha na ng'ombe"
nakubaliana na hii kaul kwa 99℅...
Wanawake wanaojiuza n wengi sana ila kwa staili tofaut tofaut tu...kuna member aliandika huu uzi heshima kwako mkuu...
 
Hiyo milioni 10 naenda kujaza fuso 5 za sampuli yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…