Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Kitu ni kile kile tena wkt mwingine cha kwake hakina ubora unaostahili. Yaan dunia ya leo mtu anunue nanihii kwa gharama kubwa wakati vimejaa mtaani kila mahali. Inawezekana kwel bado wajinga wapo lkn.....!
 
kwa mahari hiyo ataolewa na baba yake mzazi
 
Heshima ya mwanamke sio mahari aliyopewa.Heshima ni namna unavyomjali na kumpa thamani mkeo.Unaweza olewa hata kwa milioni hamsini na bado usiheshimiwe katika ndoa yako.
 
Muuzaji tu huyo anajiona kwavile bado yupo kwenye chati anapanga mahari itafika kipindi hata wa bure hatamwona
 
Ila wadua tuweke siasa pemben...

Huko nyuma yuko kama kinu cha kuyeyushia makinikia kimefungwa kwa nyuma daaah!!

Uzuri hawa watu wapo...tutafute maisha kwanza!!
 
Asubiri hiyo 10 millions.
Inawezekana kabisa akapatikana ila hata yeye awe tayari kujua hiyo million 10 itahitaji atoe huduma za ziada sio atoe huduma za kawaida kama mke aliyeolewa kwa laki mbili
 
Bora niongezee mil 3 ninunue noah,kuliko yeye ambaye hata ushuru sintolipa.
 
Mfyuuu shape yake mbona kama yangu tu. . Sema tu mimi sio maarufu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weka kapicha basi, me ntakukabidhi Kibiti na Mkuranga upamiliki.
 
Ila wadua tuweke siasa pemben...

Huko nyuma yuko kama kinu cha kuyeyushia makinikia kimefungwa kwa nyuma daaah!!

Uzuri hawa watu wapo...tutafute maisha kwanza!!
Huo uzuri wa kinu unauona machoni, ukienda katika utendaji unaweza kujuta kwa utakachokiona, anaweza kua mzigo na kalaha[emoji23]
Kule hakunaga utofauti mkuu mambo ni yale yale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…