Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi
Kwani nanunua nini, kwanini yaani. Ina tv ndani!!??
HahahhaaUnauza nini kwani? Ina ATM ndani? Hiyo milioni 10 mtu ukienda Nanjilinji si unarudi na wanawake fuso mbili. K ni K bwana.
nafikiri mugabe mkuu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Millioni 10 za mugabe au za uncle magu ??
Vipi kama mie nataka nionje kwanza then nione kama mashine nayo inalipa ndio nitoe hiyo mahari?MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.
View attachment 533607
“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi