Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi



harafu hawa wa hivi huwa wabovu sana kitandani mpaka utajutia kwa nini ulioa.. sema wana mbwe mbwe nyingi sana uzuri, kujipodoa, kalio ila ukimkunja ndo mwisho kama gogo
 
Milion 10 ni vitu vidogo[emoji15] [emoji15] [emoji15] mungu anakuona ujue
 
Hivi ana Wazazi, kaka, dada na wadogo zake kweli? Hii ni hatari sana
 
Atakaaa sanaaaaa ajiandae kisaiklojia na huu usawa wa Ankal 10ml ni vitega uchumi siyo kununua papuch ambayo inakuja kukutia damage wakati same thing,same value you can get for free or less.
 
Ishu ni tabia,,, pesa siyo shida,,,, je anaweza kuishi kinda?
 
Kwa lipi jipya alilonalo?? Labda papuchi yake inatema makinikia!....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
What she selling? A crotch ?! I ain't buyin that crap ...or is it that stink fat a**
 
Mil 10, kisha anaenda kupigwa picha kama anazotupia kila siku? Huyu hata buku sitoi
 
Duu!,Kwa hiyo ananunuliwa

Ee wanao oa shepu watatoa
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.
Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

View attachment 533607

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi
Vipi kama mie nataka nionje kwanza then nione kama mashine nayo inalipa ndio nitoe hiyo mahari?
maana baadhi ya hawa madada wanaoitwa wazuri mara nyingi uzuri wao huwa ni wa nje tu!
Kuna kabinti flani Bongo movie ukikaona kwenye screen hizi za kisasa kanaonekana matata sana utafikiri hakakuzaliwa bongo sasa mwezi wa nne kipindi cha pasaka nikawa nawasiliana nako kupitia FB kakajilengesha(Maana kwa muonekano wangu kwenye picha au tukionana live huwezi kuamini kama mimi ni muuza majeneza)
Hivyo nilikadanganya mie mfanyabiashara wa madini kakajaa nikaenda Dar Hotel moja hivi maarufu mitaa ya karibu na lile kanisa la yule jamaa, Nikakapigia cm kakaja na kigari chake kama cha Mr Bean.
Tukiwa room nilitaraji na ule uzuri na umaarufu wake katakuwa katamu kama mchepuko wa mkulu
kumbe hovyo! Ufundi zero! halafu mashine yake inatoa harufu kama panya kaozea ndani! yaani niliishia bao mbili tu mpaka asubuhi kesho yake nikarudi zangu Dom japo nilimuachia kama laki 3 lakini sijawahi kumtafuta tena tangu hapo nawaogopa sana hawa mademu maarufu!
NB; Siwezi kumtaja jina wala kuweka picha yake maana itakuwa udhalilishaji!
 
Back
Top Bottom