Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Acha nitafute hela.
Vitu vizuri kama hivyo nisiishie kuviita shemeji.[emoji37][emoji37][emoji37]
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

A beautiful woman is like a full blown rose, lsmell nice,looks very attractive even to birds and bees.
But at the end of the day, it shrivels and become so ugly and smelly that even the bees do not hover over it.
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

Haya anyofanya humo ndani ndio thamani yake mil 10?
 
Kwahiyo unampima mtu kwa mahali ya milion 10. Kazi mnayo
 
M nlifkiri mil100 kumbe 10 tu?basi m nakuletea Mil90 mama sema ucje nitesa kila cku unataka tushinde angani mara mashopping dubai staki stellesi mm
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.​
Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi

Huu msambwanda kabila gani wakuu
 
Ngojea apate HIV, [emoji16] [emoji16] [emoji16]

Itakuwa bureeee
 
Ivi inakuaje avue ivo afu mwanaume haisimami? mbona kwa wengine tukiona paja tu ule weupe weupe inasimama?
 
728fd85e221412ff7f6906e10d9faab4.jpg

Ktk mizunguko yangu hukooo nikakutana na hii habari hapo juu
 
Mil 10 tu angeongeza ongeza kidogo.
Btw wanaomwangalia kwa mbaali mmeuskia ujumbe?
 
Hata simjui. Ila Hayo ndiyo mahari ya jamii zingine japo naona siku hizi wanapunguza.

Ng'ombe 8 @600000 =mili 4.8
Mbuzi 45@ 40000 = 1.8
Bajeti ya makorokoro mengine mil 2.8

Inafika kabisa.
 
Back
Top Bottom