Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Sanchoka: Bila mahari ya milioni 10 siolewi

Milioni kumi pesa za mboga hizo, kidogo sana. Aje nimwoe awe wa pili....
 
Hakuna kitu hapo asingekuwa anajianika,mwanamke jistiri.
 
Hahahahaaaaaa million kumi hayupo serious ni nipo tusichokijua ? Ina TV ndani?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani comment za humu Zibachekesha yaani watu wamekomalia ina TV ndani
 
Kwa kujianika huku ndio 10m Kwa papuchi tu...? Ana kitu gani kingine kama added value...?
 
Hicho kifaa kinachohusika kwa ndoa kipo salama lakini? Maana kama shepu hata Tembo anayo na kama sura kuna wenzie kila siku Tunao humu wanatafuta wa kuwaoa hata Bure.
 
Hicho kifaa kinachohusika kwa ndoa kipo salama lakini? Maana kama shepu hata Tembo anayo na kama sura kuna wenzie kila siku Tunao humu wanatafuta wa kuwaoa hata Bure.
Million 10, ni pesa ndogo sana, kwa Mwenye Nazo, Kipindi cha kikwete, mbona wengine walikuwa wanaongwa zaidi ya hizo, tena kwa kimada tu, hata Leo wapo kwenye shughuli zao halali, inawezekana hiyo puss yake siyo nzuri kabisa, analingia huo mwili/nyama za matako , Mara nyingi ukifunua hayo mapaja utakuta harufu mbaya sana unaweza hata usisimamishe kabisa.
 
MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.
Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

View attachment 533607

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi
Is that a selling price?
 
Huyu akili zimeruka. Hafikirii mwanaume akitoa hela kubwa anaiwazia kama amekununua. Na atakudunda ipasavyo. Ukiondoka mzazi wako awe tayari kurejesha million 10 ya watu. Pfffffyyyuuuuuu
 
Ukiondoa makalio kwa kuwa me huwa siyatumii, mahari itakuwa kiasi gani?!
 
Afrika tabu sana. Hivi kumbe kuna binadamu wa thamani kubwa na ndogo. Afrika kuendelea ni mpaka pale tutakapotambua kuwa mtu kuendelea si kuwa na material things tu. Kuendelea kifikra ndiyo maendeleo makubwa sana ambayo binadamu anayahitaji. Hawa ndiyo mnawatetea wasitawaliwe na wanaume! Hawa ni watawaliwa sugu.
 
Ninunue matako na katani za kichwani kwa Mil 10?

Kwanini nisimnunulie mama yangu soksi, blanket, mkaa na mifupa ya supu anywe aondoe baridi inayoweza mletea Pneumonia?
 
Kwani nani kasema atamuoa.....huyu demu mjanja kaona hana soko kwenye issue ya ndoa ndio maana karopoka
 
Back
Top Bottom