Sanchoka kwisha habari yake,mashabiki zake walia kama watoto wadogo kwa kutokuamini kilichotokea

Anachuchumaa kimba linatoka mkuu, sema huo mkimba wake sasa unakuwa kama guu la tembo, ukitua kama ndio vile vyoo vya shimo lazima usikie mtikisiko wa ardhi.
Dah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi anayempigaga picha sanchworld ni mwanaume kweli? Anavumiliaje kula kwa macho hiyo shida!!
 
mleta mada umebase kwa mshindi wako wa mfukoni kwa kuweka picha yake peke yake(tena zaidi ya 2 )

balance story[emoji23][emoji23][emoji375][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi anayempigaga picha sanchworld ni mwanaume kweli? Anavumiliaje kula kwa macho hiyo shida!!
Mkuu wanaume wa dar utawaweza,kuna siku nimeona video dada yake diamond anacheza kitandani na njemba ina rasta wanasema eti marafiki na jamaa hata kibukta kutuna hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…