Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
You nailed it!!Dini nayo kumbe ni fashion!
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You nailed it!!Dini nayo kumbe ni fashion!
Wanachezea tu dini hawa kesho kutwa arushe makalio hewani na vichupi kesho kutwa anarudi kuwa mkristo tenaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuuma nini wewe ?? Kwani ni vichupi vyako. Kila mtu anahaki ya kuabudu anachokiaminj naye pia ni mtu hata kama ameslim haiku gharamishi.! Huenda akabadilika kabisa na ukashangaa.!
Sent from my iPhone using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23]Yupo na Mwarabu moja hivi ana biashara zake hapo kariakoo, ngoja atindue mavi akiyachoka atamtimua kama mbwa...
Hawezi kukuelewa mkuu grammar ni tatizo..unazungumzia mtu mmoja halafu unamuita classmates , mlisoma nae utopolo sekondari ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Funguka zaidi basi tumjue
Yani kuna watu wameumia kweli mdada kuingia kwenye Uislamu!!!WAKUU mbona MNARUSHA MAPOVU? mrembo kabadili DINI,,, hajasema kabadilishwa DINI..amesema the RELIGION SHE LOVES...She has been fasting ramadhani since she was not a Muslim...and today she is happiest for her first SHAHADA as a MUSLIM...she is where her spirt truely belongs..MAASHALAH SURAYYA... MSIMVUNJE MOYO MREMBO.......kitendo cha KUSHAHADIA AS MUSLIM,,ni JAMBO KUBWA SANA,,,,hyo akifa Leo ANAKWENDA KAMA MUSLIM....ni WANAWAKE WANGAPI wa KIISLAM walikwenda UPANDE WA PILI SABABU YA NDOA?na huyu kaja UPANDE HUU NI KWA UWEZO WA ALLAH,, MBONA NI KAWAIDA TU? tena ATAWAHAMASISHA WAREMBO WENGI KUHAMIA DINI YA HAKI....basi na huyo hata akidanganywa basi na aachwe MOYO WAKE UNAVYOTAKA,,,iam happy for you SURAIYYA.....ALLAH AKBAR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kiki kama hizi si ndiyo zilimfanya Jose Chameleon kuwa chizi mwisho wa siku? Waafrika hizi dini za kuletewa zinatuharibu sana akili mpaka tunakuwa kicheko kwa waliotuletea.