Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
TbsNani anadhibitisha ubora wa jezi?
TbsNani anadhibitisha ubora wa jezi?
Hela za wallputty hazimtoshi anataka pasu la jezi, bongo nyoso kweli. Natamani wamnyooshe sadly sandaland ndo atasakamwa
Mzee wangu paskali mayala amehusika vipi na utekaji wa polepole?Paul Makonda na shoga mwenzake Pascal Mayalla huongozwa nanjaa zao katika kufanya maamuzi. Huyu Pascal Mayala amehusika kwenye utekaji wa balozi polepole. Hili halitapita bure.
na hapo ndio waziri bwana yule anachotaka ,na ndio maana kawahi mapema kuchokonoaWangeacha tu ata jamaa akauza uza zitumike hata miechi hz za kufuzu alafu wanazindua mpya sasa za afcon. Tatzo wanatia mamlaka sana hao
Mahakama Za Simu Moja Toka JuuKwa mahakama hizi hizi au?!
Sanda wanapoteza muda
😂😄😀😃😅🤣😆😁🫦👄 Wewe JamaaKuweni makini, mjane hajapata mtu bado
Wanajuana kuanzia bunge la katibaAliyemteua alitumia vigezo gani kumpa hiyo nafasi?
Kudos......wewe ndiweHili sakata si bure uenda kuna upigaji huko na kuna mtu anatafutwa hapa kama si karia basi Mwana FA
Inaonekana TFF inawasiliana sana na naibu waziri kuliko waziri
Hata sijui kiongoziKwan wallput tenda alijiuzia mwenyewe?
Hawa ni wauza sanda nini?Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii iliyoponda ubora na uhalali wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars).
Sakata hili limeibuka kufuatia taarifa iliyotolewa leo, Septemba 18, 2026, na kampuni hiyo nchini Tanzania, ikijibu ujumbe wa Waziri Makonda uliowekwa Septemba 16, 2026 kwenye ukurasa wake wa Instagram unaosema:
"Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi, acheni kutumia picha za Naibu wangu huku Ofisi yangu haina taarifa."
Sandaland imeeleza kuwa imechukua hatua hiyo kwa sababu kauli ya Waziri imesababisha sintofahamu na kuiletea kampuni madhara makubwa, ikifafanua kupitia taarifa yao kuwa:
"Kauli hiyo iliyozua taharuki na sintofahamu mpaka sasa imekwishasababisha madhara makubwa sana ya kihadhi na kiuchumi."
Wamesisitiza kuwa wana mkataba halali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa kutengeneza na kusambaza jezi hizo ambazo tayari zimeshatumika katika mashindano mbalimbali ya timu za taifa za wanaume na wanawake.
View attachment 3673373View attachment 3673369
Pia soma: Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars
Hujui chochote mkuu. Huyu Pascal Mayalla ni msénge kuliko unavyomwona hapa jukwaani. Kwenye hili la Polepole lazima apitie alichopitia polepole.Mzee wangu paskali mayala amehusika vipi na utekaji wa polepole?
Pamoja na yote lakini mayala ni mmoja ya watu peace sana wenye kucheka na kujumuika na Kila rika, roho ya utekaji anaitoa wapi? Acha kumchafua paskal