Nina mbwa wangu hapa Jike namuita jina hilo. Jamaa anakula hadi watoto wake. Hajawahi kuwa na akili hata kidogo huyo Mbwa wangu ninayemuita Paulo Makonda. Yeye anajua kupigwa miti tu.Paul Makonda hajawahi kuwa na akili
Nina mbwa wangu hapa Jike namuita jina hilo. Jamaa anakula hadi watoto wake. Hajawahi kuwa na akili hata kidogo huyo Mbwa wangu ninayemuita Paulo Makonda. Yeye anajua kupigwa miti tu.Paul Makonda hajawahi kuwa na akili
Nasi tukiamua tumfuatilie yeye ana usafi wowote.Kwenye vyama vya michezo kuna madudu mengi. Kipindi cha Magufuli walivyomtikisa Malinzi walikuwa makini.
Makonda inabidi vyama vyote vya michezo apitishe fagio hakuna cha nafuu.
Ukiona wamakuja na tamko la aina hiyo jua kuna nguvu zaidi ya waziri ipo nyuma yao.Kwa mahakama hizi hizi au?!
Sanda wanapoteza muda
Kwa mliofanikiwa kuona hiyo jezi naomba mniambie kama ina picha ya Naibu Waziri. Kama hiyo picho ipo, basi Sandaland wamekosea sana na inapaswa wao ndio washtakiwe. Picha haziwekwi kwenye jezi kiholela bila idhini ya mhusika.Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii iliyoponda ubora na uhalali wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira wa miguu (Taifa Stars).
Sakata hili limeibuka kufuatia taarifa iliyotolewa leo, Septemba 18, 2026, na kampuni hiyo nchini Tanzania, ikijibu ujumbe wa Waziri Makonda uliowekwa Septemba 16, 2026 kwenye ukurasa wake wa Instagram unaosema:
"Hii sio jezi ya Taifa Stars, Taifa Stars kwa ubora wake hatuwezi kuwa na jezi za kiwango chini hivi, acheni kutumia picha za Naibu wangu huku Ofisi yangu haina taarifa."
Sandaland imeeleza kuwa imechukua hatua hiyo kwa sababu kauli ya Waziri imesababisha sintofahamu na kuiletea kampuni madhara makubwa, ikifafanua kupitia taarifa yao kuwa:
"Kauli hiyo iliyozua taharuki na sintofahamu mpaka sasa imekwishasababisha madhara makubwa sana ya kihadhi na kiuchumi."
Wamesisitiza kuwa wana mkataba halali na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wa kutengeneza na kusambaza jezi hizo ambazo tayari zimeshatumika katika mashindano mbalimbali ya timu za taifa za wanaume na wanawake.
View attachment 3673373View attachment 3673369
Pia soma: Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars
Sio kwamba ni picha ya naibu waziri akiwa amevaa jezi ndio inatumika kuipromote.Kwa mliofanikiwa kuona hiyo jezi naomba mniambie kama ina picha ya Naibu Waziri. Kama hiyo picho ipo, basi Sandaland wamekosea sana na inapaswa wao ndio washtakiwe. Picha haziwekwi kwenye jezi kiholela bila idhini ya mhusika.
Sasa shida ni nini mkuu?Sio kwamba ni picha ya naibu waziri akiwa amevaa jezi ndio inatumika kuipromote.
Na sio picha ya naibu waziri kwenye jezi.
Shida ni kwamba Picha ya Naibu waziri inatumika kupromote jezi ambazo kwa mujibi wa Waziri hazina viwango.Sasa shida ni nini mkuu?
Nilikuwa naangalia video ya ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa ujio wa Motsepe, Rais wa CAF anauliza jambo, Naibu anajibu, Rais TFF naye anajibu at the same time... I was really shocked 😂😂😂😂😂😂😂Hakuna maelewano kati ya waziri,naibu wake na TFF.
wote makambare.
Kwa hiyo hapo kumbe naibu waziri ndiye mwenye viwango lakini jezi ni duni? Hiyo picha ya naibu waziri ilifikaje kwenye jezi? Kwani yeye ni mdhamini wa faifa stars?Shida ni kwamba Picha ya Naibu waziri inatumika kupromote jezi ambazo kwa mujibi wa Waziri hazina viwango.
Ni picha ya NW akiwa amevaa jezi.Kwa hiyo hapo kumbe naibu waziri ndiye mwenye viwango lakini jezi ni duni? Hiyo picha ya naibu waziri ilifikaje kwenye jezi? Kwani yeye ni mdhamini wa faifa stars?
Bashite... Limejiweka meza za juu... Linauwezo wa Kwenda Kizimkazi muda wowote kupiga story na kushusha wine..Bwana paulo anavyopenda hekaheka haya ndio mambo anayataka, watoto wa mjini wanasema sandaland atasanda
Kumbe! Hapo sawa.Ni picha ya NW akiwa amevaa jezi.
Jezi feki hakuna kampuni Duniani inayotengeneza jezi inayoitwa Sandaland, Kampuni zinatengeneza jezi zinajulukana mfano Nike, Puma, AdidasTulitegemea TBS ndo waseme jezi sio bora DAB ametumia kigezo gani kusema feki
Dau la Naibu yamkini ni dogo kuliko la Waziri.Hili sakata si bure uenda kuna upigaji huko na kuna mtu anatafutwa hapa kama si karia basi Mwana FA
Inaonekana TFF inawasiliana sana na naibu waziri kuliko waziri
Acha kumtag Boss wanguPaul Makonda hajawahi kuwa na akili
Hawajui kuwa huyo ni mtoto pendwa, TFF wenyewe wameufyata mkia.Kwa mahakama hizi hizi au?!
Sanda wanapoteza muda