Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

Paul Makonda na shoga mwenzake Pascal Mayalla huongozwa nanjaa zao katika kufanya maamuzi. Huyu Pascal Mayala amehusika kwenye utekaji wa balozi polepole. Hili halitapita bure.
Mzee wangu paskali mayala amehusika vipi na utekaji wa polepole?
Pamoja na yote lakini mayala ni mmoja ya watu peace sana wenye kucheka na kujumuika na Kila rika, roho ya utekaji anaitoa wapi? Acha kumchafua paskal
 
Mwakani kuna AFCON kwakua huwa tunatabia ya kupenda SIFA ,serikali huwa wananunua majezi kwa watumishi wao, na pia wanafunzi watanunuliwa jezi, makampuni yatalazimishwa wanunue jezi...kwa ajiri ya AFCON sasa hizo zote ni pesa ndefu jamaa hayuko tayari kuona zinaingia sandaland

kingine na wagusia nje ya mada CCM wana uchaguzi wao hizo jezi zitatumika kushawishi, hivyo kuna hela nyingi sana hapo kwenye jezi ,huo ugomvi mkubwa

jezi moja TZS 35,000- 45,000/=

huo ndio ugomvi wa jezi na sio ubora , mtashangaa anapokonywa sandalan akapewa sheria ngowi
 
Hawa ni wauza sanda nini?
 
Mzee wangu paskali mayala amehusika vipi na utekaji wa polepole?
Pamoja na yote lakini mayala ni mmoja ya watu peace sana wenye kucheka na kujumuika na Kila rika, roho ya utekaji anaitoa wapi? Acha kumchafua paskal
Hujui chochote mkuu. Huyu Pascal Mayalla ni msénge kuliko unavyomwona hapa jukwaani. Kwenye hili la Polepole lazima apitie alichopitia polepole.
 
Kwenye vyama vya michezo kuna madudu mengi. Kipindi cha Magufuli walivyomtikisa Malinzi walikuwa makini.

Makonda inabidi vyama vyote vya michezo apitishe fagio hakuna cha nafuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…