Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

Kwenye vyama vya michezo kuna madudu mengi. Kipindi cha Magufuli walivyomtikisa Malinzi walikuwa makini.

Makonda inabidi vyama vyote vya michezo apitishe fagio hakuna cha nafuu.
Nasi tukiamua tumfuatilie yeye ana usafi wowote.

Acha shobo, Pumbavu.
 
Kwa mliofanikiwa kuona hiyo jezi naomba mniambie kama ina picha ya Naibu Waziri. Kama hiyo picho ipo, basi Sandaland wamekosea sana na inapaswa wao ndio washtakiwe. Picha haziwekwi kwenye jezi kiholela bila idhini ya mhusika.
 
Kwa mliofanikiwa kuona hiyo jezi naomba mniambie kama ina picha ya Naibu Waziri. Kama hiyo picho ipo, basi Sandaland wamekosea sana na inapaswa wao ndio washtakiwe. Picha haziwekwi kwenye jezi kiholela bila idhini ya mhusika.
Sio kwamba ni picha ya naibu waziri akiwa amevaa jezi ndio inatumika kuipromote.

Na sio picha ya naibu waziri kwenye jezi.
 
Hakuna maelewano kati ya waziri,naibu wake na TFF.
wote makambare.
Nilikuwa naangalia video ya ukaguzi wa uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wa ujio wa Motsepe, Rais wa CAF anauliza jambo, Naibu anajibu, Rais TFF naye anajibu at the same time... I was really shocked 😂😂😂😂😂😂😂
 
Shida ni kwamba Picha ya Naibu waziri inatumika kupromote jezi ambazo kwa mujibi wa Waziri hazina viwango.
Kwa hiyo hapo kumbe naibu waziri ndiye mwenye viwango lakini jezi ni duni? Hiyo picha ya naibu waziri ilifikaje kwenye jezi? Kwani yeye ni mdhamini wa faifa stars?
 
Bwana paulo anavyopenda hekaheka haya ndio mambo anayataka, watoto wa mjini wanasema sandaland atasanda
Bashite... Limejiweka meza za juu... Linauwezo wa Kwenda Kizimkazi muda wowote kupiga story na kushusha wine..

Bashite anaweza kumfilisi na kumpoteza Sandaland kwa jinsi system za ki CCM zilivyokaa..

Hapa Sandaland amwambie Bashite chukua kiasi hiki.. mambo yatakaa sawa
 
Tulitegemea TBS ndo waseme jezi sio bora DAB ametumia kigezo gani kusema feki
Jezi feki hakuna kampuni Duniani inayotengeneza jezi inayoitwa Sandaland, Kampuni zinatengeneza jezi zinajulukana mfano Nike, Puma, Adidas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…