Sandaland Kuiburuza Mahakamani Wizara ya Michezo Kuhusu Jezi za Taifa Stars

This time vijana wengi watazijua sheria coz toka Bi msumi aingie kwa uongozi mahakama zimekuwa busy sana kwa hekaheka tofauti tofauti.
 
Hili sakata si bure uenda kuna upigaji huko na kuna mtu anatafutwa hapa kama si karia basi Mwana FA

Inaonekana TFF inawasiliana sana na naibu waziri kuliko waziri
Kuna namna MwanaFA anamzidi mwamba mvuto na ushawishi kwenye wizara...Sasa Makonda anakuja na mbinu chafu za kutaka kumporomoa Mwana FA kupitia uko Kwa Jezi za Sandaland.
 
Bwana paulo anavyopenda hekaheka haya ndio mambo anayataka, watoto wa mjini wanasema sandaland atasanda
Bashite mbona ana kesi nyingi sana mahakani na huwa hatusikii mwisho wa hizo kesi zake. Ngoja CCM watoke madarakani atajua hajui
 
Jamaaa aangalie asije akatenguliwa chap uwaziri maana naona upepo haujakaa vizuri kwake.
 
Kuna namna MwanaFA anamzidi mwamba mvuto na ushawishi kwenye wizara...Sasa Makonda anakuja na mbinu chafu za kutaka kumporomoa Mwana FA kupitia uko Kwa Jezi za Sandaland.
Itamgharimu nafasi yake.
 
Kuna sehem au sentensi ambayo imehitaja hiyo kampuni ya Sandaland kwenye kauli ya Makonda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…