Tutasikia kitakachosemwa, inawezekana kuna shida mahalii.Wanamwaga mboga kesho👇
Maigizo na mambo ya kuhamisha kwenye reli.Wanamwaga mboga kesho👇
ok.🐒Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi.
Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu ya Taifa Stars, haijaeleza hasa ni nini inachokwenda kukisema mbele ya Waandishi wa habari hiyo kesho ikiwa ni siku tatu tangu ieleze kuwa inakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliyoitoa kuhusu jezi za Taifa Stars.
Mkutano huu na Waandishi unakwenda kufanyika ikiwa ni siku tatu tangu Wizara hiyo kufafanua rasmi kuwa Waziri Paul Makonda hatambui matangazo ya jezi za Timu ya Taifa kutokana na mchakato wa kuzibadilisha jezi hizo kutoshirikisha Wizara hiyo licha ya maelekezo aliyoyatoa Mwezi February 2026.
View attachment 3675322
Makonda anajua madudu mengi ya hawa wanajiita matajiri hapo mjini...
Ndio maana huwa anawagusa wanaambulia kubweka tu...
Sitarajii huyu Sandaland atakuja na kile tunafikiri.
SawaMakonda huyu huyu unachekesha hujui kitu nyamaza
Sandaland ni kauzu... Kwenye hili amekurupuka!Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi.
Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu ya Taifa Stars, haijaeleza hasa ni nini inachokwenda kukisema mbele ya Waandishi wa habari hiyo kesho ikiwa ni siku tatu tangu ieleze kuwa inakusudia kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo aliyoitoa kuhusu jezi za Taifa Stars.
Mkutano huu na Waandishi unakwenda kufanyika ikiwa ni siku tatu tangu Wizara hiyo kufafanua rasmi kuwa Waziri Paul Makonda hatambui matangazo ya jezi za Timu ya Taifa kutokana na mchakato wa kuzibadilisha jezi hizo kutoshirikisha Wizara hiyo licha ya maelekezo aliyoyatoa Mwezi February 2026.
View attachment 3675322
We huo mkataba umeusoma?Sandaland ni kauzu... Kwenye hili amekurupuka!
Je, ameandikiwa barua rasmi?
Ni nini kilimfanya asisuburie hadi damage iwe legally incurable, yaani mkataba uvunjwe kwa maandishi kabla ya kuanza kulalamika/kudai haki zake?
Tatizo la wafanyabiashara wengi ni aidha hawajui kuwa biashara zao ni legal persons au uchawa una wasumbua au vyote kwa pamoja!
Hili limefikaje fikaje?We huo mkataba umeusoma?