ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Hata Mane kajenga Msikiti pia huko watu waenjoy elimu ya Allah. Acheni ujinga kudhihaki imani za watu pundamilia nyieMbona hata samata katujengea msikiti Jaman tunaenjoy elimu ya Allah
Si jukumu lakeHarmonize kamnunulia kajala vogue mbili kwa mpigo wakati kijiji cha kitogori hkna hta visima vya maji salama
Umenena pakubwa, kila mtu ajishughulisheTufanye kazi kwa BIDII.
Tusingoje vya kupewa.
Hela analiyo nayo inatosha?Cc; samata
Hujui nguvu ya kule chini weweHarmonize kamnunulia kajala vogue mbili kwa mpigo wakati kijiji cha kitogori hkna hta visima vya maji salama
Samatta kajenga Msikiti,huenda alinusa hii ishu?mchezaji wa kibongo akitaka kufanya hvo ie kujenga hsptl au shule etc lazima watamletea zengwe coz watasema anataka agombee ubunge etc!!yaani kila kitu itaingizwa siasa etc
Hayo maneno ya Mane yanastahili kuwekewa frame na kutunzwa kwenye Makumbusho yao
Cc; samata
Wivu ni kidonda maku weweGreat man, jamaa yetu huku anajenga majumba ya watu kwenda kufundishana sarakasi na kupanga mipango ya ugaidi. shwaiin
Wabongo wengi wanafikiri kutoa msaada hadi uwe na mabilioni.Tusinyoshe vidole kwa wacheza mpira. Tujiulize sisi wenyewe kwa kiwango cha kipato chetu tumechangia nini huko tulikotoka kwenye vitongoji vyetu, vyama vya kijamii vijijini, shule uliyosomea, jumuia za aina mbalimbali n.k