Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

Hilo ni jukumu la serikali yake, utalipaje watu wasifanya kazi hela?
 
mchezaji wa kibongo akitaka kufanya hvo ie kujenga hsptl au shule etc lazima watamletea zengwe coz watasema anataka agombee ubunge etc!!yaani kila kitu itaingizwa siasa etc
Samatta kajenga Msikiti,huenda alinusa hii ishu?

Hata hivyo kujenga msikiti napo tunambeza tunasema kwanini asingejenga shule, Wabongo maneno ni jadi yetu
 
Ametumwa na kijiji .
Huenda akafuata njia ya legend George weah
 
Tusinyoshe vidole kwa wacheza mpira. Tujiulize sisi wenyewe kwa kiwango cha kipato chetu tumechangia nini huko tulikotoka kwenye vitongoji vyetu, vyama vya kijamii vijijini, shule uliyosomea, jumuia za aina mbalimbali n.k
Wabongo wengi wanafikiri kutoa msaada hadi uwe na mabilioni.
 
Back
Top Bottom