Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Kwenye wimbo wa ''Addis Ababa'' kuna mahali Joseph Hill (Culture) anaimba anasemaLipo Ethiopia na linalindwa kinoma mwaka huu January walikufa watu zaidi ya mia nane wakijaribu kulilinda.
The Babylon (Wazungu mabepari) there, they wanted to take away the Ark of the covernat (sanduku la agano) from yoo'' yaani (Ethiopians)....The ark of the covenant cannot be taken away from Addis Ababa
So wao wanaamini lipo Addis Ababa - Ethiopia
Pia Benito Mussolini (mwaka 1934) aliivamia Ethiopia kwa lengo la kuchukua Sanduku la Agano lakini hawakufanikiwa kushinda vile na kuchukua sanduku.