Sanduku la Agano liko wapi?

Sanduku la Agano liko wapi?

Lipo Ethiopia na linalindwa kinoma mwaka huu January walikufa watu zaidi ya mia nane wakijaribu kulilinda.
Kwenye wimbo wa ''Addis Ababa'' kuna mahali Joseph Hill (Culture) anaimba anasema

The Babylon (Wazungu mabepari) there, they wanted to take away the Ark of the covernat (sanduku la agano) from yoo'' yaani (Ethiopians)....The ark of the covenant cannot be taken away from Addis Ababa

So wao wanaamini lipo Addis Ababa - Ethiopia

Pia Benito Mussolini (mwaka 1934) aliivamia Ethiopia kwa lengo la kuchukua Sanduku la Agano lakini hawakufanikiwa kushinda vile na kuchukua sanduku.
 
Haya Mambo yanapasua kichwa Sana inasemakana waliojenga hekalu la kuhifadhi Hilo sanduku walipewa karatasi zenye Mambo ya Siri na mfalme suleiman
,wakatokea jamaa wakawavizia na wakawaua hao wajenzi wa hekalu na kuchukua hizo karatasi zenye Siri Sasa Hawa jamaa baada ya kuchukua karatasi za Siri ndio wakaanzisha kitu kinaitwa Freemason upo hapo
Nakuunga mkono.

Zilikua ni siri za namna ya kuendesha ibada takatifu ,symbols,tokens,keywords etc.

Ambazo zinatumika kwenye ibada za kitakatifu zaidi na hizo ibada zilikua zinafanyika kwenye hekalu la suleiman tu.

Zilivyovuja hizo ibada zikaangukia kwa mikono isiyo salama kama hao uliowataja.

Hapo ndipo anaongelewa Hiram Abiff.
 
halipo,watu wa mwisho kuvamia nakubeba vitu hekaluni ni wababeli

waroma walipovamia mwaka 70AD, hekalu halikuwa na sanduku
Hekalu la pili kwenye chumba cha patakatifu hapakuwa na kitu coz sanduku halikuwepo
 
Kuna Documentary niliangalia ya BBC/aljazera sina uhakika,wanasema lipo Ethiopia,kuna hekalu Fulani limewekwa huko ndani na huko anayeruhusiwa kuliona na kulilinda ni mtu mmoja tu na Mara nyingi hatoki nje.

Nje ya Hekalu hilo lina ulinzi mkali sana na hata mwandishi mwenyewe kwanza ilibidi apate ruhusa ya kufika huko na hata alipofika aliongea na mtu mmoja tu aliyekuwa nje ndio akamweleza hayo yite na wala hakuruhusiwa kusogea karibu na uzio wa Hekalu.
Yes inasemekana hvy pia..
 
  1. The Ark and other Temple treasures were taken by the Babylonians in the 6th C. BC during their conquest of the land and probably melted down to make other gold items.
  2. The Jews had an elaborate system of caves and trap doors, Indiana Jones and National Treasure style, for hiding the Temple treasures below the Temple in the event of invasion and they remain there today.
  3. The Ark and other treasures were taken from the Temple prior to the Babylonian invasion and hidden in the Judean desert where they remain today or have long since been plundered by treasure hunters. The famous Copper Scroll from the Dead Sea Caves is supposed to be the treasure map.
  4. The Ark was taken to Ethiopia and remains there today guarded by Priests.
  5. The Ark was found by the Knights Templar and taken and stored with their other treasures in an unknown location.
  6. It was found long ago and taken to the secret vaults below the Vatican.
  7. It is in Arkansas, USA, which was named after the “Ark” (Yea, I know, that is pretty far-fetched, but believe it or not there are people who believe this).
Kwa hiyo sanduku la agano lipo Marekani kwa sasa
 
Ukisoma Samweli wakwanza..kuanzia fungu la 4

Kuna kisa hapo huwa kinanichekesha na kunifundisha sana.


Wafilisiti na waisrael walikua vitani..

Basi wafilisit,wakawapa kichapo kikubwaa waisrael, unaambiwa Waisrael walipigwaa sanaa


Walivyoona kichapo kimewaelemea, wakashauriana kufata SANDUKU LA AGANO ,eti liwalindee


Kweli wakaliletaa, wakapiga kelele sanaaa mpaka wafisiliti wakaanza kuogopa

Baadae Wafisiliti wakajawa na ujasiri wakaona bora wakapamband

Wakaenda tena kwa Waisrael, wakawatembezea kipigooo, piga saaana waisrael, pigaaa sanaaa licha ya Sanduku la agano, lkn wote walichezea kipigoo

Mpaka Wakalibeba sanduku.


Ilibidi Mungu mwenyewer aingilie kati ,kuwapa adhabu wafilisit mpaka wakalirudisha[emoji23][emoji23][emoji23].


FUNZO...Tunajifanganyaga eti ukilala na Biblia, Mashetani na wanga wa Usiku hawakuchezei

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My Dear, kama Waisrael walichezea kichapoo licha ya kua na Sanduku la Agano. Sembuse Biblia ako[emoji23][emoji23][emoji23]

TUSALI.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hoja ni kwamba sanduku lilikuwa na utukufu wa Mungu na waliokuwa wanaruhusiwa kulishika ni wana wa lawi hakuna mtu mwingine yeyote aliyeruhusiwa kulishika wala kuligusa, aliyethubutu kulishika/kuligusa bila kuruhusiwa alikufa hapohapo.

Je baadae utukufu wa Mungu uliondolewa na kila mtu akaruhusiwa kulishika/kuligusa na kulibeba ndio maana likaweza kubebwa na mtu yeyote asiyekuwa mulawi na kufichwa mahali pasipojulikana pasipokupata madhara yoyote ya kufa kama ilivyokuwa hapo awali?.

Isije ikawa sanduku la Bwana lilifichwa na Mungu mwenyewe kama alivyoificha busitani ya edeni kwa ajili ya usalama wa mwanadamu ili wasiendelee kufa kwa kuwa amri ya Mungu ilikuwa ni wana wa lawi pekee ndio walioruhusiwa kuligusa sanduku la Bwana, tofauti na hapo aliyethubutu kuligusa kama hakuwa mulawi hakuna adhabu nyingine aliopewa zaidi ya kifo.

Na hakuna mahali popote pale tunapoambiwa Kama Mungu alibadilisha amri yake ya kutaka wana wa lawi ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuligusa sanduku la Bwana, na kuruhusu kila mtu yeyote aliguse pasipo kupata madhara yoyote.
Hakuna sanduku ni hekaya hizo,.
Solomoni mwenyewe alikua mpagani ,
Amri kumi halisi zilikuwa za king Hamurab.
Hamurab-aburahm
 
lilifikaje ethiopia? kuna connection gani kati ya utawala wa Babylon na wa-ethiopia ? yawezekana hawa wa-ethiopia ndiyo wakawa wana halisi wa Israel na wengi wao walikuwa utumwani Misri

Mawasli ni mengi....
Utawala wa ethiopia ulijulikana kama Cushite empire,,, kuna kipindi ulispread hadi caanan, enzi za mafarao ndio kipindi wakush wanatawala misri hadi caanan,
29 egypt dynasty,
Hivyo wakati wa moses ndipo kipindi cush wanatawala misri hadi caanan, farao wakipindi cha moses lazima alikuwa ni cush yaani, black
 
kuna tetesi ya kuwa hapa Tanzania kwenye misitu ya monduli kuna chombo chenye mfano wa sanduku la agano, ambacho kiliachwa hapo na majeshi ya Ujerumani enzi za ukoloni. Inasemekana kuwa chombo hicho kina miujiza na mambo mengi ya ajabu na kutisha.
 
Nope waethiopia walitawala hadi caanan kipindi hicho
,
kush.jpg
180970-004-B1FD2551.jpg
 
Back
Top Bottom