Sanduku la Agano liko wapi?

Lipo Ethiopia na linalindwa kinoma mwaka huu January walikufa watu zaidi ya mia nane wakijaribu kulilinda.
Kwenye wimbo wa ''Addis Ababa'' kuna mahali Joseph Hill (Culture) anaimba anasema

The Babylon (Wazungu mabepari) there, they wanted to take away the Ark of the covernat (sanduku la agano) from yoo'' yaani (Ethiopians)....The ark of the covenant cannot be taken away from Addis Ababa

So wao wanaamini lipo Addis Ababa - Ethiopia

Pia Benito Mussolini (mwaka 1934) aliivamia Ethiopia kwa lengo la kuchukua Sanduku la Agano lakini hawakufanikiwa kushinda vile na kuchukua sanduku.
 
Nakuunga mkono.

Zilikua ni siri za namna ya kuendesha ibada takatifu ,symbols,tokens,keywords etc.

Ambazo zinatumika kwenye ibada za kitakatifu zaidi na hizo ibada zilikua zinafanyika kwenye hekalu la suleiman tu.

Zilivyovuja hizo ibada zikaangukia kwa mikono isiyo salama kama hao uliowataja.

Hapo ndipo anaongelewa Hiram Abiff.
 
halipo,watu wa mwisho kuvamia nakubeba vitu hekaluni ni wababeli

waroma walipovamia mwaka 70AD, hekalu halikuwa na sanduku
Hekalu la pili kwenye chumba cha patakatifu hapakuwa na kitu coz sanduku halikuwepo
 
Inasemekana bablon walilibeba japokuwa hawakuliweka kwenye list ya vitu, na inasemekana kwamba lilikaa mpaka nchi ile kuitwa Iraq, hata vita ya juzi wamarekani walililenga wao
Mkuu kwa mujubu wa biblia walawi pekee ndio wenye ruhusa ya kulishika au Kuhani mkuu ss wao walilibeba vp..
 
Yes inasemekana hvy pia..
 
  1. The Ark and other Temple treasures were taken by the Babylonians in the 6th C. BC during their conquest of the land and probably melted down to make other gold items.
  2. The Jews had an elaborate system of caves and trap doors, Indiana Jones and National Treasure style, for hiding the Temple treasures below the Temple in the event of invasion and they remain there today.
  3. The Ark and other treasures were taken from the Temple prior to the Babylonian invasion and hidden in the Judean desert where they remain today or have long since been plundered by treasure hunters. The famous Copper Scroll from the Dead Sea Caves is supposed to be the treasure map.
  4. The Ark was taken to Ethiopia and remains there today guarded by Priests.
  5. The Ark was found by the Knights Templar and taken and stored with their other treasures in an unknown location.
  6. It was found long ago and taken to the secret vaults below the Vatican.
  7. It is in Arkansas, USA, which was named after the “Ark” (Yea, I know, that is pretty far-fetched, but believe it or not there are people who believe this).
Kwa hiyo sanduku la agano lipo Marekani kwa sasa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuna sanduku ni hekaya hizo,.
Solomoni mwenyewe alikua mpagani ,
Amri kumi halisi zilikuwa za king Hamurab.
Hamurab-aburahm
 
lilifikaje ethiopia? kuna connection gani kati ya utawala wa Babylon na wa-ethiopia ? yawezekana hawa wa-ethiopia ndiyo wakawa wana halisi wa Israel na wengi wao walikuwa utumwani Misri

Mawasli ni mengi....
Utawala wa ethiopia ulijulikana kama Cushite empire,,, kuna kipindi ulispread hadi caanan, enzi za mafarao ndio kipindi wakush wanatawala misri hadi caanan,
29 egypt dynasty,
Hivyo wakati wa moses ndipo kipindi cush wanatawala misri hadi caanan, farao wakipindi cha moses lazima alikuwa ni cush yaani, black
 
kuna tetesi ya kuwa hapa Tanzania kwenye misitu ya monduli kuna chombo chenye mfano wa sanduku la agano, ambacho kiliachwa hapo na majeshi ya Ujerumani enzi za ukoloni. Inasemekana kuwa chombo hicho kina miujiza na mambo mengi ya ajabu na kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…