Sanduku la Agano yawezekana limefichwa na makundi ya siri kama Priory of Sion?

Naam
Zipo tofauti tofauti hata yule myahudi msomi alidai kwamba bado liko Jerusalam
Na wengine bado wakaamini lipo Rome hivyo documentary ziko tofauti tofauti

Jambo jingine kama hawa mabwana wameweza kutumia maandiko na vitamu vitakatifu kama Biblia kuteka akili za walimwengu na mamlaka nadhani hili nalo linaleta tafakuri pana.
Kuna kifungu kimoja hapo juu kwenye kinasema
Ni wasomi sana wanajua faida zilizomo ndani ya vitu vitakatifu na namna ya kuvitumia.

Andiko la ISAYA 14:14 linaongeza nguvu zaidi juu ya point hizi

Shukraani mkuu
Hapa tuendelee kutafakari ila angalia tu kilichomkuta Mfalme Belshaza baada ya kulewa na kuagiza vyombo vya Hekalu viletwe ili anywee yeye na wageni wake kilichomkuta ni balaa zito lililopelekea kifo,hata ule ujumbe tu uliokuwa ukiandika na mkono usioonekana hakuweza kuuelewa hata alipoita waganga wake mashuhuri na kuwaahidi ukuu mpaka Daniel mtu wa Mungu alipoitwa ,sasa najiuliza kwa sanduku la agano sijui itakuwaje?

Danieli 5
1 Belshaza, mfalme, aliwafanyia wakuu wake elfu karamu kubwa akanywa divai mbele ya elfu hao.

2 Belshaza, alipokuwa akionja ile divai, akaamuru wavilete vile vyombo vya dhahabu na fedha, ambavyo baba yake, Nebukadreza, alivitoa katika hekalu lililokuwako Yerusalemu; ili kwamba mfalme, na wakuu wake, na wake zake, na masuria wake, wapate kuvinywea.

3 Basi wakavileta vile vyombo vya dhahabu, vilivyotolewa katika hekalu la nyumba ya Mungu lililokuwako Yerusalemu; na mfalme na wakuu wake, na wake zake, na masuria wake, wakavinywea.

4 Wakanywa divai, wakaisifu miungu ya dhahabu, na ya fedha, na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe.

5 Saa iyo hiyo vikatokea vidole vya mkono wa mwanadamu, vikaandika katika chokaa ya ukuta wa nyumba ya enzi ya mfalme, mahali palipokikabili kinara; naye mfalme akakiona kitanga cha ule mkono ulioandika.

6 Ndipo uso wa mfalme ukambadilika; fikira zake zikamfadhaisha; viungo vya viuno vyake vikalegea; magoti yake yakagongana.

7 Mfalme akalia kwa sauti kubwa, akaamuru waletwe wachawi, na Wakaldayo na wanajimu. Mfalme akanena, akawaambia wenye hekima wa Babeli, mtu awaye yote atakayesoma maandiko haya, na kunionyesha tafsiri yake, atavikwa mavazi ya rangi ya zambarau, na kuwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwake, naye atakuwa mtu wa tatu katika ufalme.

8 Basi wakaingia wenye hekima wote wa mfalme; lakini hawakuweza kuyasoma yale maandiko, wala kumjulisha mfalme tafsiri yake.

9 Ndipo mfalme Belshaza akahangaika sana, uso wake ukambadilika, na wakuu wake wakaona fadhaa.

10 Basi malkia, kwa sababu ya maneno ya mfalme na ya wakuu wake, akaingia katika nyumba ya karamu; malkia akanena, akasema, Ee mfalme, uishi milele; fikira zako zisikufadhaishe; wala uso wako usibadilike.

11 Yuko mtu katika ufalme wako, ambaye roho ya miungu watakatifu inakaa ndani yake; na katika siku za baba yako nuru na ufahamu na hekima zilionekana ndani yake; na mfalme Nebukadreza, baba yako, naam, mfalme, baba yako, akamfanya kuwa mkuu wa waganga, na wachawi, na Wakaldayo, na wanajimu;

12 kwa kuwa roho njema kupita kiasi, na maarifa, na ufahamu, na uwezo wa kufasiri ndoto, na kufunua maneno ya fumbo, na kufungua mafundo, zilionekana katika Danielii huyo, ambaye mfalme alimwita Belteshaza. Basi na aitwe Danielii, naye ataionyesha tafsiri.

13 Ndipo Danielii akaletwa mbele ya mfalme. Na Mfalme akanena, akamwambia Danielii, Je! Wewe ndiwe Danielii yule, aliye mmoja wa wana wa Yuda waliohamishwa, ambao mfalme, baba yangu, aliwaleta huku toka Yerusalemu?

14 Nimesikia habari zako, kwamba roho ya miungu imo ndani yako, na kwamba nuru na ufahamu na akili bora zimeonekana kwako.

15 Basi sasa, watu wenye hekima na wachawi wameletwa mbele yangu, wapate kulisoma andiko hili, na kunijulisha tafsiri yake; lakini hawakuweza kunijulisha tafsiri ya jambo hili.

16 Lakini nimesikia habari zako, kwamba waweza kuleta tafsiri, na kufumbua mafumbo; haya! Kama ukiweza kulisoma andiko hili, na kunijulisha tafsiri yake, utavikwa mavazi ya rangi ya zambarau, na kuwa na mkufu wa dhahabu shingoni mwako, nawe utakuwa mtu wa tatu katika ufalme.

17 Ndipo Danielii akajibu, akasema mbele ya mfalme; Zawadi zako zishike wewe mwenyewe; na thawabu zako mpe mtu mwingine; walakini nitamsomea mfalme maandiko haya, na kumjulisha tafsiri yake.

18 Kwa habari zako, Ee mfalme, Mungu Aliye juu alimpa Nebukadreza, baba yako, ufalme, na ukuu, na fahari, na utukufu;

19 na kwa sababu ya ule ukuu aliompa, watu wa kabila zote, na mataifa, na lugha, wakatetemeka na kuogopa mbele yake; aliyetaka kumwua alimwua; na aliyetaka kumwacha hai, alimwacha hai; aliyetaka kumtukuza, alimtukuza; na aliyetaka kumshusha, alimshusha.

20 Lakini moyo wake ulipoinuliwa, na roho yake ilipokuwa ngumu akatenda kwa kiburi, aliuzuliwa katika kiti chake cha enzi, nao wakamwondolea utukufu wake.

21 Akafukuzwa mbali na wanadamu, moyo wake ukafanywa kuwa kama moyo wa mnyama, na makao yake yalikuwa pamoja na punda-mwitu; akalishwa majani kama ng'ombe, mwili wake ukalowa maji kwa umande wa mbinguni; hata alipojua ya kuwa Mungu Aliye juu ndiye anayetawala katika ufalme wa wanadamu, na ya kuwa humweka juu yake yeye amtakaye, awaye yote.

22 Na wewe, mwanawe, Ee Belshaza, hukujinyenyekeza moyo wako, ijapokuwa ulijua hayo yote.

23 Bali umejiinua juu ya Bwana wa mbingu; nao wamevileta vyombo vya nyumba yake mbele yako; na wewe, na wakuu wako, na wake zako, na masuria wako, mmevinywea; nawe umeisifu miungu ya fedha na ya dhahabu na ya shaba, na ya chuma, na ya mti, na ya mawe; wasioona, wala kusikia, wala kujua neno lo lote; na Mungu yule, ambaye pumzi yako i mkononi mwake, na njia zako zote ni zake, hukumtukuza.

24 Ndipo kile kitanga cha ule mkono kikaletwa kutoka mbele zake, na maandiko haya yameandikwa.

25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.

26 Na tafsiri ya maneno haya ni hii; MENE, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.

27 TEKELI, umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.

28 PERESI, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvika Danielii mavazi ya rangi ya zambarau, wakatia mkufu wa dhahabu shingoni mwake, wakapiga mbiu kutangaza habari zake, ya kwamba yeye ni mtu wa tatu katika ufalme.

30 Usiku uo huo Belshaza, mfalme wa Wakaldayo, akauawa.

31 Na Dario, Mmedi, akaupokea ufalme, naye umri wake alikuwa na miaka sitini na miwili.
 
Sawasawa mkuu
Nmeipata tafakuri ya kina ihusike na bongo zetu
 
Sanduku la agano lipo mbinguni, soma ufunuo 11:19

Kisha hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la Agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake.
Lililoko mbinguni ni halisi,lile la duniani lilitengenezwa kufanana na la mbinguni (kama hekalu la duniani lilivyo kivuli cha hekalu halisi mbinguni)
Kwa muktadha huo lililopotea ni like la duniani,likowapi?
 
Shuqraani
Kwa mchango mkuu
 
Sanduku la agano Kuna conspiracy halikuwa Moja yanaweza kuwa yalikuwepo zaidi ya Moja.

1. Kuna kanisa Ethiopia la orthodox lindai sanduku liko Ethiopia na Kuna mtu Yuko appointed kama kuhani kulilinda Hilo sanduku. Ukweli huu ulidhiirika pale watu walipoandamana kulinda sanduku vuguvuhu ya vita juzi kati. Wakazi wa hapa Kuna wayahudi na wana unasaba nao

2. Pia kinasemekana sanduku hili Zimbabwe lilikuwepo pia. Kuna mzungu miaka ya 70 hivi alilikuta akalithibitisha. Japo baadae aliporudi hakulikuta. Ila wakazi wa hapa wana asili na unasaba na wana wa Israel

3. Sanduku hili pia linasadikika lipo limefichwa sehemu nyingi duniani. Mfano Japan, Italy, Israel huko nk

Sanduku hili hata Adolph Hitler alilitafuta sana. Wengi wanaoamini ni kama silaha. Wengi sana wanalitafuta ila in vain na Kuna watu wanaweza kuwa wanayalinda haya masanduku sio kweli kwamba hayapo hapa duniani. Hilo sanduku wakilitoa tu hivi litaleta maafa makubwa sana kwanza hairihusiwi kulitazama na macho lilikuwa linafunikwa. Very dangerous thing. .
 
Adolph Hitler alikuwa ni miongoni mwa
Member wa kundi la siri lenye nguvu la kipindi hiko Ujerumani (Thule society)

Na kama ilivyoelezwa sanduku hili liliwapa sana mamlaka ya Utawala na Akili isiyomithilika
Si ajabu kuskia hivyo kuna uwezekano mkubwa sana hata yeye kweli alilitafuta
 
Nabii Yeremia alifahamu fika kuwa Yuda angeenda utunwani babeli,kutokana na uasi wao kwa Mungu ,hivyo nabii Yeremia alilificha sanduku Hilo kwenye pango mlimani ,ili lisije likachukuliwa na mataifa +(babeli).lakini pia haidhuru kitu kwa kuwa sanduku la agano lilihusu mfumo wa ibada za agano la kale,kwa hyo Mambo yote yaliyokuwepo yalikuwa Ni mfano wa Mambo halisi yaliyoko mbinguni ,kwa hyo kwa nyakati hizi hayapo Tena kwa kuwa hata Hilo agano la kale ilikuwa Ni Kati ya Mungu na Israel peke yake.
 
Ndio alilitafuta kwa mda mrefu ila hola. Ila inasenekana Kuna secret society inalinda hili sanduku. .

Hiki sanduku lina nguvu nyingi sana, ndio liliwatangulia wana wa Israel kwenye safari zao. Ndio lilitangulia mbele wakati wanavuka maji ya bahari pia. .

Sanduku lipo au yapo sema hata Hawa secret societies wameficha history ya hili sanduku ila Lina historia ya kutosha sana. .
 
Kuna conspiracy pia kuwa extraterrestrial walikuwa ndio wameleta sanduku hili. Na lilikuwa na nguvu za nuclear na miomzi. Wanadai kuwa sanduku hili pia juu yake kulikuw na malaika wawili ambao walikuwa kama chaja hasi na chanya ambayo ilipelekea kufuka Moshi. Na Moshi ukifika Mungu alikuwa anatokea juu ya sanduku hili. Namanisha taswira ya Mungu ilionekana juu ya sanduku. .

Ndio maana makuhani hata kwa mifano ya kweny Biblia walikuwa wanavaa nguo maalumu. Na hizo nguo pia zilikuwa zinawaka taa kama mose code hivi. Sanduku lilipaswa kutunzwa na watu wa Yuda tu tena kwenye mavazi maalumu.
Sanduku lilikuwa linafunikwa mda wote watu walikufa endapo likiwa wazi Tena wanadai lilikuwa linatoa mionzi ambayo ilipelekea kuua watu. Hapo ambapo sanduku lilikuwa linahifadhiwa aliruhusiwa kuhani mmoja aliyechaguliwa kulisogelea na kupata ujumbe kutoka kwa Mungu. It's something very interesting. .

Ark of covenant if found today it's believed that who ever will possess it will be the most powerful in the world. In the Bible we have seen how it brought down Jericho walls just by going around it and singing with trumpet, this is Ultimate power. .

Wanna say more but I am tired if writing
 
Kama hakukuwahi kuwa 3kitu kama hiko na ni uzushi usingeweza kudumu miaka hii yote kwani uongo haudumu. Sanduku lilikuwepo na Yeye aketiye juu ya Makerubi alimwambia Musa alitengeneze kwa namna alivyomuonesha. Binafsi, nasoma sana Biblia na mara nyingi Mungi hunifunulia siri za kidunia ila hili la sanduku la agano sijawahi waza wa fikiria kuuliza lilipo. Tunaweza pata majibu ya yaliyopo sirini.
Kuna uwezekano hakukuwahi kuwepo kitu kama hicho duniani...

Just a legendary history
 
Nabii Yeremia alifahamu fika kuwa Yuda angeenda utunwani babeli,kutokana na uasi wao kwa Mungu ,hivyo nabii Yeremia alilificha sanduku Hilo kwenye pango mlimani ,ili lisije likachukuliwa na mataifa +(babeli).lakini pia haidhuru kitu kwa kuwa sanduku la agano lilihusu mfumo wa ibada za agano la kale,kwa hyo Mambo yote yaliyokuwepo yalikuwa Ni mfano wa Mambo halisi yaliyoko mbinguni ,kwa hyo kwa nyakati hizi hayapo Tena kwa kuwa hata Hilo agano la kale ilikuwa Ni Kati ya Mungu na Israel peke yake.
Kutoa zaka ni lazima?
 
Back
Top Bottom