Sanduku la Agano yawezekana limefichwa na makundi ya siri kama Priory of Sion?

Kwa sababu hauruhusiw kulitazam. Au kuwa karibu nalo. Kuna watu wana speculate kuwa hili linaweza kuwa radioactive. Hata waliokuw makuhan walikuw wanatakiw wawe wanavaa specific clothing. .
Again very dangerous thing. Waliliiba likawasumbua hatari. Liliangusha Jerocho walls. .
 
Mambo ya agano la kale yalikuwa ni kivuli Cha nyakati hizi la agano jipya Kila kitu kilichopo kwenye sanduku kiliwekea Kwa mfano,Kwa kuwa agano la kale lilishavunjika unafikiri kuwa sanduku la agano linatakiwa kuwepo Ili iweje?.Yeremia nabii alifanamu fika kuwa Yerusalemu ingeshambulia na kutekwa na watu wangeenda utumwani Kwa miaka sabini ,Kwa hiyo Kwa kuwa alifanamu ukweli huo aliihifadhi kwenye mlima kwenye pango Ili lisije kwenda kwenye mikono ya wageni
 
Sanduku liliwekwa kwenye hekalu kuashiria uwepo wa Mungu katikati Yao,nyakati hizi wewe ni hekalu la Mungu na Roho mtakatifu anakaa ndani yako ndugu.
 
Okeyy
 
na sababu ni kwamba utukufu wa Mungu na uwepo wake hauwezi kuguswa na mwanadamu.
Maana sanduku lenyewe lilikuwa ni utambulisho wa uwepo wa M/mungu
Wakati Sanduku lenyewe limetengenezwa na Mwanadamu, bwana weweee ambi hivi si ndo vituko bwasomo acha mi ncheke kwanza 😂
 
Vipi kuhusu eneo lile ambapo Sulemani alijenga Hekalu! Si kwamba ndo liko hapo Hilo Sanduku?
 
Kwa kizazi chetu cha sasa je? Sanduku la agano lina faida yotote kwetu...?
 
Kwa kizazi chetu cha sasa je? Sanduku la agano lina faida yotote kwetu...?
Watu wengi hujiuliza kwanini lihusishwe sana na kupotea au kufichwa , huenda lina cha zaidi ambacho wasio na Uelewa hawawezi kung'amua faida zake
(MTAZAMO)
 
Vipi kuhusu eneo lile ambapo Sulemani alijenga Hekalu! Si kwamba ndo liko hapo Hilo Sanduku?
Hilo nalo ni dai miongoni mwa madai mengi , ambayo inaidaiwa (inawezekana) sanduku hilo ndiko lilikohifadhiwa.
 
“Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.”
— Ufunuo wa Yohana 11:19 (Biblia Takatifu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…