Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makocha wengine wanakaga
Kunyenyekewa kama Mungu
Aliniboa hata kwenye ile game yakirafiki vs brazil anapaka rangi sana dogo nazan hata dam yakijerumananao anao sana huyo mtoto ndie aliyewacost man cty vs liverpool
Mwl. Kashasha una maoni gani: "Mpira ni Sayansi" kwako Jesse John
labda na kusuka nywele kumechangia.... kamekuwa kama ka demu bana!!sipati Picha ingekuwa bongo hapa star mmoja katemwa timu ya taifa, huyo kocha lazima alogwe[emoji23] [emoji23] .
View attachment 793937
Hahahahaha.....Mwalimu Kashasha noma sanaaaa.....Daah mecheka kichizi!!Mwl. Kashasha una maoni gani: "Mpira ni Sayansi" kwako Jesse John
Sane kazi anayofanya man city ni kukimbia na mpira pembeni kisha kupiga krosi..ghafla sterling anaunganisha upande wa pili..sasa ujerumani hawachezi mpira huo
Kila mchezaji anachangia maarifa na jasho kwenye ushindi wa timu..dogo yeye mbio tuMjerumani kazi kazi, manshaft