Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
sipati Picha ingekuwa bongo hapa star mmoja katemwa timu ya taifa, huyo kocha lazima alogwe[emoji23] [emoji23] .
FB_IMG_1528117110150.jpg
 
anao anao sana huyo mtoto ndie aliyewacost man cty vs liverpool
Aliniboa hata kwenye ile game yakirafiki vs brazil anapaka rangi sana dogo nazan hata dam yakijeruman
 
Huyo dogo Ni haki yake kutemwa Hana damu ya kijeruman huwa anapooza mashambuliz anapaka rangi mno anaremba Sana nilijua atatemwa tu bado ajakua
 
Hivi mbona naona kitu cha kawaida sana, bado dogo huyo atapata muda wake.
 
Back
Top Bottom