Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

Kmkk..tatizo wabongo mnakalili majina na timu nimewaona german wana wachezaji wanacheza ndondo cup na sane afu dafu at 1%
 
Huyo dogo Ni haki yake kutemwa Hana damu ya kijeruman huwa anapooza mashambuliz anapaka rangi mno anaremba Sana nilijua atatemwa tu bado ajakua
mkuu, kupaka rangi ndiyo kufanyaje?
 
Mwl. Kashasha una maoni gani: "Mpira ni Sayansi" kwako Jesse John
"Sasa huu ndo tunasema technical selection,kwamba coach ameona Kroos na Draxler wanafikia na huku pembeni mipira utakuwa......................"

Hah Kashasha bwana!!!
 
Wakati mwingine ni siasa za mpira ni kama ilivyo kwa yule kiungo wa AS ROMA anaitwa Radja Nainggolan kuachwa kwenye kikosi cha Belgium.....wanaweza kuwa na sababu zao binafsi ambazo sio za kimpira
 
Sane pamoja na umuhimu wake aliouonyesha Pale City lakini kocha wa team ya taifa kamtema.
 
Binafsi naona kocha yupo sahihi, maana ujerumani inakikosi kizuri sana sijaona wakuachwa pale.
Kocha ni mnafiki binafisi nimemuona sane baada ya kuwa anaingia national team EURO iliyopita sasa anaposema hafit mfumo nakuwa simuelewi
 
EURO aliyochukua URENO hukumuona sane akicheza ujerumani?

Au ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira?
Nimeanza kushabikia mpira wakati mamaako mdogo maziwa bado yamesimama mkuu..yaani kabla sane hajaanza kuoga ndani
 
Kocha ni mnafiki binafisi nimemuona sane baada ya kuwa anaingia national team EURO iliyopita sasa anaposema hafit mfumo nakuwa simuelewi
NAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?
 
NAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?
Kuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote
 
Basi usiongee kama umetoka kuswekwa na walevi mkuu no research no right to speak.
Unambishia hadi kocha wa ujerumani aliyemuita sane 2014 na leo kamuacha!!?..ye kaona hafai,si ndie anaefundisha
 
Kuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote
Kwenye ukabaji na kutengeneza nafasi anawazidi hao!?..ubunifu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…