Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu, kupaka rangi ndiyo kufanyaje?Huyo dogo Ni haki yake kutemwa Hana damu ya kijeruman huwa anapooza mashambuliz anapaka rangi mno anaremba Sana nilijua atatemwa tu bado ajakua
"Sasa huu ndo tunasema technical selection,kwamba coach ameona Kroos na Draxler wanafikia na huku pembeni mipira utakuwa......................"Mwl. Kashasha una maoni gani: "Mpira ni Sayansi" kwako Jesse John
Kila mchezaji anachangia maarifa na jasho kwenye ushindi wa timu..dogo yeye mbio tu
Kocha ni mnafiki binafisi nimemuona sane baada ya kuwa anaingia national team EURO iliyopita sasa anaposema hafit mfumo nakuwa simuelewiBinafsi naona kocha yupo sahihi, maana ujerumani inakikosi kizuri sana sijaona wakuachwa pale.
Zamani wakati anacheza EURO hakuwa na mbio?Kila mchezaji anachangia maarifa na jasho kwenye ushindi wa timu..dogo yeye mbio tu
Zamani gani..sane kabaleghe jana tu!!?Zamani wakati anacheza EURO hakuwa na mbio?
EURO aliyochukua URENO hukumuona sane akicheza ujerumani?Zamani gani..sane kabaleghe jana tu!!?
Nimeanza kushabikia mpira wakati mamaako mdogo maziwa bado yamesimama mkuu..yaani kabla sane hajaanza kuoga ndaniEURO aliyochukua URENO hukumuona sane akicheza ujerumani?
Au ulikuwa bado hujaanza kushabikia mpira?
Hukumuona EURO ?Nimeanza kushabikia mpira wakati mamaako mdogo maziwa bado yamesimama mkuu..yaani kabla sane hajaanza kuoga ndani
NAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?Kocha ni mnafiki binafisi nimemuona sane baada ya kuwa anaingia national team EURO iliyopita sasa anaposema hafit mfumo nakuwa simuelewi
Kuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,NAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?
Waala simkumbuki,hata man city walipomsajili sikujua katokea wapi?Hukumuona EURO ?
Basi usiongee kama umetoka kuswekwa na walevi mkuu no research no right to speak.Waala simkumbuki,hata man city walipomsajili sikujua katokea wapi?
Unambishia hadi kocha wa ujerumani aliyemuita sane 2014 na leo kamuacha!!?..ye kaona hafai,si ndie anaefundishaBasi usiongee kama umetoka kuswekwa na walevi mkuu no research no right to speak.
Kwenye ukabaji na kutengeneza nafasi anawazidi hao!?..ubunifu!!!Kuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote