Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

Sio sawa kumuacha huyu dogo, isiwe eti kwasababu ni ulaya basi tuone kila kitu wanachofanya kwenye soka ni sahihi.. huyu dogo kaupiga mwingi sana msimu huu.. alistahili kabisa huyu dogo.

National team hafiti. Nani wa kumtoa pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…