Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Habari wanaJamiiForums,

Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.

Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia
 
sisi wenye sixth sense( macha matatu) tunaona kabisa Laizer anatumika kufanya Money laundering kupata pesa za uchaguzi.

Taasisi ya madini mnaingizwa chaka mkijua.

Kwaheli.
Uko sawa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mwenye nacho ataongezewa.

Laizer Mungu akulinde hata hao unaona wanakuchekea sio watu wazuri. Muda si mrefu watakufungulia kesi ya uhujumu uchumi wanyang'anye kila kitu.

Mungu akulinde na akutetee!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom