Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

Sisi wenye sixth sense (macho matatu) tunaona kabisa Laizer anatumika kufanya Money laundering kupata pesa za uchaguzi.

Taasisi ya madini mnaingizwa chaka mkijua.

Kwaheli.

Hilo linawezekana maana uchaguzi huu sijasikia cha EPA wala Escrow. Hii ya Laizer inaweza kuwa ni mbadala wa fund raising.
 
Kuna ile ya 1.5Trilion sijui jamaa wameiweka wapi. Inaonekana wanahonga sana.
Hilo linawezekana, maana uchaguzi huu sijasikia cha EPA wala Escrow. Hii ya Laizer inaweza kuwa ni mbadala wa fund raising.
 
Me mwenyewe nineshangaa. Huwezi mwita Bilionea kama huyo mchimbaji mdogo. Kuna wachimbaji ambao miaka yote wanachimba kwa makarai, makoreo na machujio very locally na hawajawahi pata hata mil 20, sasa hao ni sawa na huyu jamaa? Je hao wengine wa kati na juu wote wanenpiga gap huyu Laizer?
Mtu mwenye $5M liquid Cash mnamuita mdogo, ila mfanyabiashara mwenye $15000 anaitwa mfanyabiashara wa kati na kila siku TRA wapo naye.
Siasa za hii nchi bhana.
 
Me mwenyewe nineshangaa. Huwezi mwita Bilionea kama huyo mchimbaji mdogo. Kuna wachimbaji ambao miaka yote wanachimba kwa makarai, makoreo na machujio very locally na hawajawahi pata hata mil 20, sasa hao ni sawa na huyu jamaa? Je hao wengine wa kati na juu wote wanenpiga gap huyu Laizer?
Kwa industry ya madini yeye ni mdogo!
 
Back
Top Bottom