Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Asitufokeee sisiMchimbaji mdogo wa madini mh Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana.
Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni mzalendo wa kweli.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia