johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
WATU WAMEMSHITUKIA TAYARIIsijekuwa ameshayapata.. ameyaweka ndani anayatoa tu kidogo kidogo.. ndio ameanza miezi hii kuyatoa.. bado yamejaa geto
Maigizo.comMmmh kila siku anapata yeye tu
Basi ayo madini yaitwe laizer
Haha! Hii ndo Tz kakaMtu mwenye $5M liquid Cash mnamuita mdogo, ila mfanyabiashara mwenye $15000 anaitwa mfanyabiashara wa kati na kila siku TRA wapo nae
Siasa za hii nchi bhana.
Money laundering kwa maslahi ya watu fulani. Hamjashtuka tu.Huyu Masai anayo mengi ndan kayachimbia
Uko sawasisi wenye sixth sense( macha matatu) tunaona kabisa Laizer anatumika kufanya Money laundering kupata pesa za uchaguzi.
Taasisi ya madini mnaingizwa chaka mkijua.
Kwaheli.
Ni yeyeeeeMmmh kila siku anapata yeye tu
Basi ayo madini yaitwe laizer