Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
Juzi ndio ilikua suprise yenu lakiniHamna kitu humu
Striker hilo la maana kabisa!Daah ni umafia kweli japo ni mchezaj wa kawaida tu
Sio mchezaji wa kawaida, mchezaji mzuri sana huyo kwa ligi yetu hiiDaah ni umafia kweli japo ni mchezaj wa kawaida tu
Sajili za kukomoana na kumkomoa mpinzani. Timu ina Mastriker kibao,sasa huyu wa nini Yanga inahitaji number kumi mwengine.View attachment 3648056
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Suleimani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na Simba akisema ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2026/27.
Mwalimu alikuwa akiichezea Simba kwa mkopo akitokea Wydad Athletic Club ya Morocco, baada ya Simba kutangaza kuwa ataendelea kubaki kikosini hapo Wydad ilipinga taarifa hiyo na kumtaka arejee kikosini hapo, akafanya hivyo na sasa Wanasimba hawaamini macho yao imekuwaje kaibukia Yanga.
Yanga bado haijaweka wazi mkataba uliotumika kimsajili kama ni wa mkopo au moja kwa moja.
OhhView attachment 3648056
Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambiliaji Selemani Mwalimu ambaye msimu uliopita aliichezea Simba kwa mkopo, ikiwa ni siku chache tangu mchezaji huyo anukuliwe katika clip iliyopostiwa na Simba akisema ataendelea kuichezea timu hiyo katika msimu wa 2026/27.
Mwalimu alikuwa akiichezea Simba kwa mkopo akitokea Wydad Athletic Club ya Morocco, baada ya Simba kutangaza kuwa ataendelea kubaki kikosini hapo Wydad ilipinga taarifa hiyo na kumtaka arejee kikosini hapo, akafanya hivyo na sasa Wanasimba hawaamini macho yao imekuwaje kaibukia Yanga.
Yanga bado haijaweka wazi mkataba uliotumika kimsajili kama ni wa mkopo au moja kwa moja.
Nilisema ,haya majuha yanatabirikaKilichoonesha kuwa viongozi wa Simba ni sawa na watu wanaotembea wakiwa matako wazi ni kuwa juzi walituhakikishia kuwa Mwalimu tutakuwa naye msimu unatarajiwa kuanza.
Ewe mwanasimba mwenzangu usiwaamini hawa viongozi wetu malofa kweli kweli!
Naunga mkono hojaYanga Bingwa
Pale Simba Kila mtu anajiona mkubwa. Mo, Magori, Try again, Mangungu n.k.Nilisema ,haya majuha yanatabirika
Mangungu atuachie timu bhana.Kilichoonesha kuwa viongozi wa Simba ni sawa na watu wanaotembea wakiwa matako wazi ni kuwa juzi walituhakikishia kuwa Mwalimu tutakuwa naye msimu unatarajiwa kuanza.
Ewe mwanasimba mwenzangu usiwaamini hawa viongozi wetu malofa kweli kweli!
Wote waachie ngazi. Akina Magori n.k.Mangungu atuachie timu bhana.